Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #401
FT' Belgium 3-0 Russia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu amka naona unaota tunazungumzia Euro.Urusi kupigwa goli tatu bila na timu ya kwao na Lisu Ubelgiji.
Wakati jana Italy alimpiga tatu bila Uturuki.
Wanawageza Simba kuwapiga wenzao tatu tatu.
Mkeka wangu umeanza vizuriFT' Belgium 3-0 Russia
Hongera mkuuMkeka wangu umeanza vizuri
HahahaUbelgiji anachukua kombe
Acha uongo jomba...Yaani mimi machozi kwa mbali kabisa yalitaka kuanza kunitoka..sio kazi rahisi kumshuhudia binadamu mwenzako akiwa kwenye changamoto ya kupambania uhai wake..
Belgium anafukuza mwizi kimya kimyaFT' Belgium 3-0 Russia
Huyo ANATAFUNWA achana naye.Ndugu yangu amka naona unaota tunazungumzia Euro.
Belgium anafukuza mwizi kimya kimya
Sidhani kama wataweza kumshusha Ubelgiji hapo juu[emoji1045][emoji1103][emoji1087][emoji635]
This is how Group B looks after the first round of matches [emoji736]
#EURO2020 View attachment 1816863
😂😂😂Ndugu yangu amka naona unaota tunazungumzia Euro.