Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #461
2nd half Southgate aweke watu wamaana kama Grealish walau waje waongeze chachu ya mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanafunzi wa Bielsa huyo, ni zaidi ya Rice na Henderson
Southgate kuna muda nashindwa kumuelewa, yaani una mabeki wa kushoto wawili Chilwell na Shaw lakini anamchezesha beki wa kulia upande wa kushoto, inashangaza sanaSterling alikuwa anaharibu kila shambulizi la England kipindi chote.
Halafu nashindwa kuelewa kwanini anamchezesha Trippier kushoto wakati kuna Shaw na Chilwell??
Mwanafunzi wa Bielsa huyo, ni zaidi ya Rice na Henderson
Sancho na Chilwell hawapo hata benchi. Huyu jamaa akili zake muda mwngine kama popoma.Southgate kuna muda nashindwa kumuelewa, yaani una mabeki wa kushoto wawili Chilwell na Shaw lakini anamchezesha beki wa kulia upande wa kushoto, inashangaza sana
Makipa watatu ni sheriaSancho na Chilwell hawapo hata benchi. Huyu jamaa akili zake muda mwngine kama popoma.
Alafu amebeba makipa watatu.
Raheem hakutakiwa kuitwa hata kwenye timu kabisa! Hamna cha maana anachocheza.Sterling alikuwa anaharibu kila shambulizi la England kipindi chote.
Halafu nashindwa kuelewa kwanini Southgate anamchezesha Trippier kushoto wakati kuna Shaw na Chilwell??
Kaitwa na kapewa namba 10 daah Waingereza bhanaRaheem hakutakiwa kuitwa hata kwenye timu kabisa! Hamna cha maana anachocheza.
Pep alijitia kichwa ngumu akamweka fainali.