Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Stars ya Uingereza naona imeshindwa kupata bao kipindi cha kwanza, ngoja tuone mambo yatakuwaje kipindi cha pili
 
Sterling alikuwa anaharibu kila shambulizi la England kipindi chote.

Halafu nashindwa kuelewa kwanini anamchezesha Trippier kushoto wakati kuna Shaw na Chilwell??
Southgate kuna muda nashindwa kumuelewa, yaani una mabeki wa kushoto wawili Chilwell na Shaw lakini anamchezesha beki wa kulia upande wa kushoto, inashangaza sana
 
Jesse Lingard akifatilia mpambano wa England

143CC955-381B-402D-82A0-9F62A8773723.jpeg
 
Pamoja na kuwa England anaongoza lakini bado kandanda halivutii ukilinganisha na mechi ziluzopita kama za Italy
 
Back
Top Bottom