Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Una moyo kubet droo
Hizo huwaga natupiaga nikiwa high higher ..(nishapiga punch kadhaa za mjani hehehe[emoji1][emoji1]) ..halafu Ile game ya uholanzi na Ukraine japo walishinda uholanzi Ila magoli mawili ya Ukraine yaliliwa matamu Sana aise, maana yalifungwa kiustadi halafu yakanipa na mbesa pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
N’Golinho [emoji632][emoji1054]

IMG_20210615_143145_951.jpg
 
Hizo huwaga natupiaga nikiwa high higher ..(nishapiga punch kadhaa za mjani hehehe[emoji1][emoji1]) ..halafu Ile game ya uholanzi na Ukraine japo walishinda uholanzi Ila magoli mawili ya Ukraine yaliliwa matamu Sana aise, maana yalifungwa kiustadi halafu yakanipa na mbesa pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha
 
Back
Top Bottom