changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Bonge moja ya mechi hiiAnaongoza moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge moja ya mechi hiiAnaongoza moja
Thanks mkuu nacheki liveHesgoal.com
Hapana, n mzuri.Kumbe Bruno Penandes amepigwa benchi 😂😂😂😂
Huyu bingwa wa penati ni overrated kupita maelezo
Tuombe iwe hivyo maana kipindi cha pili upepo waweza kugeukaEngland atacheza na mshindi wa pili wa hili kundi.
Kwa sasa Portugal ndio wa pili
Wa penati 😂Hapana, n mzuri.
Ureno ndio namuona mwepesi kuliko Ufaransa na Ujerumani kwa EnglandTuombe iwe hivyo maana kipindi cha pili upepo waweza kugeuka
England wasipokaza wataishia 16 boraUreno ndio namuona mwepesi kuliko Ufaransa na Ujerumani kwa England
Sio butu. Ni uimara na umakini wa backline ya ufaransa. Ikiongozwa na kimpembeUreno wanaucheza mwingi ila safu ya ushambuliaji ni butu na inakosa umakini na kutoelewana