Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,561
Pia kuna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeeh kumekuchaaaah, woooooiiiiih
Holland ni taifa kubwa kisoka lenye heshima yake, Czech ndio waliokuwa wakidharauliwa kama taifa lisilo na historia kwenye sokaLakini hata Holland walibeba Euro 88 kwa kikosi kikali cha akina Gullit, Van Basten na Rijkaard ambao kwa pamoja walikuwa wanacheza Ac Milan na timu ya taifa ya Uholanzi
11' Still 0-0
Sidhani, nimewahi kuwaona Czech fainali ya euro 96 dhidi ya Ujerumani.Holland mara ya mwisho kucheza fainali ilikuwa lini?Holland ni taifa kubwa kisoka lenye heshima yake, Czech ndio waliokuwa wakidharauliwa kama taifa lisilo na historia kwenye soka
Dk ya 27 na kuendelea tutegemee bao[emoji4][emoji4]
Pekua tena makabrasha yako kuhusu CzechHolland ni taifa kubwa kisoka lenye heshima yake, Czech ndio waliokuwa wakidharauliwa kama taifa lisilo na historia kwenye soka
Dakika ya 28 sasa, bado milango ni migumu
Mpira unachezwa kwa mbinu sana
Hiyo yenyewe ilikuwa Cha mtoto, Kuna Patrick kruivert, Ruud van nisterlooy, Van de sar, van Bronkhost, Edgar Davis, Denis BerkampHolland wa moto ni wale wa World Cup 2010 ,waliotinga fainali. Holland ya kina Van persie, na mzee upara.
1998 Wolrd Cup, Holland anatolewa nusu fainali na Brazil hiko kikosi kilikuwa motoooHiyo yenyewe ilikuwa Cha mtoto, Kuna Patrick kruivert, Ruud van nisterlooy, Van de sar, van Bronkhost, Edgar Davis, Denis Berkamp
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
YametimiaIla kama naliona goli kipindi cha kwanza ..wanaviziana sana