Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ungebet wasingesawasisha.Midfield ya Spain inapenyeka sitashangaa Croatia wakipiga kimojai😅😅tena twende penalties.Ningefata hili wazo lako ningepiga ela betting😂
RodriBusquet alipotoka kaingia nani??
Busquet alipotoka kaingia nani??
Ni kweli mkuu Ureno walivokutana na Ujerumani ..walipoteana kabisaSpain na Portugal ni timu ambazo zinafanana kwa kila kitu.
Ni timu ambazo pamoja na ukubwa wake hazijawahi kufuta ile underdog mentality toka zimeanza kushiriki mashindano makubwa.
Ni timu ambazo hata ziwe na kikosi kuzuri kiasi gani ushindi wake ni wa kubahatisha bahatisha sana.
Golden generations zao huwa hazidumu beyond on tournaments zinapotea.
Huwa zina wachezaji wazuri sana individually ila huwa zina mapungufu makubwa sana ya kimbinu as a timu, Kwanza ni timu zinazocheza taratibu sana kuliko timu zote za Europe pili ni timu zenye mentality ya small teams.
Japokuwa ureno huwa anafanya vizuri mara kwa mara kwenye mashindano ya Euro kuliko Spain ila ni timu zisizoaminika kwa wafuatiliaji wa mpira.
Zinashinda usipotarajia na zinapoteza usipotarajia pia.
A true character of mediocre teams.
Mimba, mimba tu, ubakwe, ukojolewe cha tako 3, ukojolewe la mkongo.. Yote sawa tu. [emoji23]Croatia mumekufa kiume
Usijali mkuu mbappe amekasirika na lazima asawazishe.Kuna miujiza Uswizi atafanya hapa?
Au bora nikalale tu