Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,941
Kimpembe anaenda kupiga penati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana swala sijui ndio starehe zenyewe au kujaa upepo.....akiwa monaco mbona alikuwa na accuracy nzuri sehemu za leo alikuwa hakukosiMbappe anajiumiza na kukosa goli za wazi tele.....value ya Mbappe inashuka sana baada ya leo
Mbappe eti paund mil 200
😂🤣😁😀😂🤣France anatolewa kwny penalty shoot out
🤣😂😁🤣😀🤣Fala sana Mbappe
Mkuu kuanzia sasa nitapunguza kumlaumu rashford kwakweliFala sana Mbappe
Amekuwa na michuano mibovu sana🤣😂😁🤣😀🤣
Jamaa ana gundu balaa. Akaoge maji ya ziwa.
Kwa kweli. Hawa jamaa wana tambo sana. Alaf kikosi chao cha kawaida sana basi tu.Congrats Switzerland
Umetupa usiku wa furaha