Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Leo naona kimya sana ,hakuna kibonde kwenye hii michuano yaan hata vigogo wanagogolewa ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu kocha Hana tofauti sana na wa Portugal.

1. Anapanga wakabaji kibao
2. anashambulia
3. Sababu wakabaji wengi anashindwa kufunga
Fernando Santos juzi alianza na mpango wa hovyo kabisa..alishindwa nini kupanga two dm na namba kumi acheze Fernandes?

Hawa makocha wa timu za taifa ni kama wabahatishaji tu..hawawezi kutumia resources ipasavyo.
 
Spain ilipochukua Euro mara 2 consecutive chini ya vicente dele bousque ulikuwa darasa la ngapi?
Kwanza Vicente Del Bosque hajachukua Euro back to back mara mbili.

Nachokumbuka mimi Spain walichukua Euro 2008 chini ya Luis Aragones

World Cup 2010 chini ya Vicente Del Bosque

Euro 2012 walichukua chini ya Vicente Del Bosque.

Cha kukumbusha tu katika kipindi hicho cha miaka minne ndiyo ilikuwa mara ya kwanza Spain kuwa na mafanikio makubwa ya kisoka kwa timu ya taifa toka ianzishwe.

Pili usisahau pia kipindi hicho vilabu vyote vya Spain vilikuwa vinadominate ulimwengu wa soka katika mashindano yote na ndiyo Spain ilizalisha talents nyingi sana kuliko kipindi kingine chochote katika karne ya 21.
 
Shaw ni left back mmmoja hovyo anapanda sana alafu kurudi nyuma mzito.
Angalia hapa utaelewa kwanini anapanda
Screenshot_20210629-193129_FotMob.jpg
 
Back
Top Bottom