Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Huku Ulaya hii ni wiki ya maadhimisho ya haki za mashoga, wasagaji, waliobadilisha jinsia na wengine wote kwenye hilo kundi.

Zoezi huwa linahitimishwa kwa maandamano makubwa ya kitaifa alafu moja ya kufa mtu yanaandaliwa katika nchi moja mwanachama wa jumuiya ya Ulaya. Hayo maandamano yanahudhuriwa na watu kutoka mataifa mbali mbali ya Ulaya na wanajisajili kama washiriki wa Kili marathon vile.

Kila nchi mwanachama inapeperusha hiyo bendera wiki mzima katika baadhi ya halimashauri na miji.

Waajiri wakubwa kwa wadogo wanatoa zawadi zilizopbwa na rangi hizo.

Ndo maana unaiona huko kwenye runinga. Wiki ijayo hazitaonyeshwa.
***** ndio maana siku hizi hamu ya kufatilia game imenitoka, watu wanalazimishwa upuuzi bila kupenda
 
Nimeshangaa baadhi ya wachezaji kukosa baadhi mechi kwa sababu ya corona
Kwa nini wasipewe chanjo?
Nchi kama Uingereza wao ndio wanatengeneza chanjo, wanashindwaje kuwachanja timu ya watu wasiozidi 50?
 
Nimeshangaa baadhi ya wachezaji kukosa baadhi mechi kwa sababu ya corona
Kwa nini wasipewe chanjo?
Nchi kama Uingereza wao ndio wanatengeneza chanjo, wanashindwaje kuwachanja timu ya watu wasiozidi 50?
Nani kakosa mechi kisa korona
 
Back
Top Bottom