Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Spinazzola ni pigo kubwa kwa italia. Jii inaonyesha hataweza kucheza tena kwenye mashindano haya kama wataqualify kwenda nusu fainal. Game iliyopita alitangazwa man of the march
Nae kaumia kijinga sana. Mpira unaenda nje na uelekeo wa mpira ni upande wa mpinzani kwanini utumie nguvu zote zile?
Kaumia kijinga sana.
 
Doku yupo vizuri. Namshauri Jugen Kloop amsajili huyu jamaa. Ana pulling, skills, na mbio. Na bei yake sio kubwa kama akienda kwenye masoko ya england, spain na german
 
Italy yes.
IMG_20210630_162805.JPG
 
Back
Top Bottom