Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hakuna mechi ambayo nilijua kuwa wanapewa mbeleko kama ile ya Denmark.Mbeleko
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mechi ambayo nilijua kuwa wanapewa mbeleko kama ile ya Denmark.Mbeleko
Basi nyie wa juu ya 19,000/= kuna namna ila ni kweli 225 leo iko hewani kwa raia wa 19,000.Awapi..! nimeangalia chanel ya 225 imefungwa , imebaki ile ya 224 ambayo tunaangalia wale wa juu ya 19900[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ile kamatibya VAR mechi ya England Vs Denmark imerudishwa leo tena kwenye fainaliHakuna mechi ambayo nilijua kuwa wanapewa mbeleko kama ile ya Denmark.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nyie wa juu ya 19,000/= kuna namna ila ni kweli 225 leo iko hewani kwa raia wa 19,000.
Leo waingereza waandae machozi ya kutosha kilio ni kingi sana
Italia ni timu ambayo iko organized vizuri zadidi kuliko England,
Italia wanawazidi maarifa England, italia wana nguvu na ujanja mwingi. hayao yote yatawafanya Italia washinde.
lkn nawaombea England washinde.
Germany kidogo ndo ilikua ngumu, na bila yule kikongwe Muller kukosa goli la wazi, tungekua tunaongea mengine leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba walitupanga. .coz Leo Niko bar nasubiria hii gameAwapi..! nimeangalia chanel ya 225 imefungwa , imebaki ile ya 224 ambayo tunaangalia wale wa juu ya 19900[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo quality mbovu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi nyie wa juu ya 19,000/= kuna namna ila ni kweli 225 leo iko hewani kwa raia wa 19,000.
Hahaha acha wivu D, quality ni ile ile.Japo quality mbovu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]