Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Muda unataradadi mdogo mdogo tunasogea uwezi kuamini bado dk 40 tu England walie kilio cha mbwa koko....

Ila jamaa hata wakipigwa watatafuta sababu tu ili waendelee kupiga kelele. Wote Italia na england wana kiu kikubwa na hili kombe. Nadhani mashabiki wataiongezea sana chamdomo nguvu.
 
Italy XI

8C16A0E5-674B-448F-ABFD-637442580D17.jpeg
 
Italia ni timu ambayo iko organized vizuri zadidi kuliko England,
Italia wanawazidi maarifa England, italia wana nguvu na ujanja mwingi. hayao yote yatawafanya Italia washinde.
lkn nawaombea England washinde.

Kasi ya vijana wa England kwa wale mababu wa Italy itaamua mechi
 
Back
Top Bottom