Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Waingereza wamepagawa na pira la italyKuna shabiki kaingia uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waingereza wamepagawa na pira la italyKuna shabiki kaingia uwanjani
Chiesa is being subbed off now. What a player. His race is run but Bernardeschi is on.Chiesa ana nguvu, anawapa shida sana England...ndo next scorer hapa.
Sema ameupigaa japo kaumiaBaba yake Chiesa amecheza timu moja na Buffon.
Halafu Chiesa mtoto nae kacheza na Buffon
Maji wataita mma leoWaingereza wamepagawa na pira la italy
Hawajategemea kinachotokeaNi Kama England wameanza kuzomea timu yao
Inaonekana kama itaenda extra timeVIP bado tuu game haijaisha ..
Upo serious mkuu, mbona anaonekana mzee? Kama ni hivyo baada ya hapa atakuwa na future nzuri sana.
Walidhani mambo yatakuwa rahisiHawajategemea kinachotokea
Yuko vzur tuu kuliko mtu kama Rahim ndio anaongoza kwa kupoteza mipira.Hana utulivu nguvu nyingi
Ana 23Upo serious mkuu, mbona anaonekana mzee? Kama ni hivyo baada ya hapa atakuwa na future nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema kama yuko vibayaYuko vzur tuu kuliko mtu kama Rahim ndio anaongoza kwa kupoteza mipira.
So far akina Harry Kane wamechoka kocha anawaacha wa nini humo ndani?
Federico Chiesa's #Euro2020Final by numbers:Chiesa man of the match
Wapigwe tulale kesho kibaruaniNa England wanapigwa huu muda wa nyongeza