Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Mkuu kanamwili wa mazoezi wala si mzee.....anamiaka 23 anachezea Juventus mbona toka msimu uliopita kama sijakosea......alienda Juve akitokea Fiorentina ya palepale Italy...sema Bayern wanamtaka sahizi
Upo serious mkuu, mbona anaonekana mzee? Kama ni hivyo baada ya hapa atakuwa na future nzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sub ya Saka sijaikubali kabisaaa bora angeingia Sancho au Rashford akimbize.

Saka hana experience kabisa na hili litawacost
 
Mzee ameona mtt anataka kumletea mazoea
20210712_000258.jpg
 
Back
Top Bottom