kilyabanu mkono
Member
- Oct 4, 2019
- 48
- 65
Sijawahi muelewa hata kidogo, Kisinda aliyechangamka hyuHuu uchezaji wake unakera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi muelewa hata kidogo, Kisinda aliyechangamka hyuHuu uchezaji wake unakera sana
Anaweza akawa ametoka ila class yake sio ya ChielliniHuyu Dias na Portugal wameshatangulia.
Logic yako ni kuwa bukayo saka ni bora kuliko cr7 kwa kuwa ronaldo katoka😂😂😂Huyu Dias na Portugal wameshatangulia.
Kisinda [emoji23]Sijawahi muelewa hata kidogo, Kisinda aliyechangamka hyu
Upo serious mkuu, mbona anaonekana mzee? Kama ni hivyo baada ya hapa atakuwa na future nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alizaa mchezaji haswa.Baba yake Chiesa amecheza timu moja na Buffon.
Halafu Chiesa mtoto nae kacheza na Buffon
No doubt in my mind Italy watashinda.Bado naamini Italy atashinda 2-1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi muelewa hata kidogo, Kisinda aliyechangamka hyu
Naam mkuuDk ya 22 tangu second half kitu ndani..
Superb prediction mkuu