Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana
Hii sub hata mimi imenishangazaHii sub ya veratti inakwenda kuwagharimu italia. Jamaa alikuwa ana u balance mpira.
Sub ya hovyo. Labda maandalizi ya matuta
Alaumiwe kocha,Rahim hayupo vzur toka mwanzo kocha haelewi,toa Rahim na nahodhaSterling atalaumiwa sana
Saka ni mzuri kwenye umiliki wa mpira sema hana uzoefu tuuHii sub hata mimi imenishangaza
Mwanaume anakimbiaje kaweka mikono style ya kuchambaSterling atalaumiwa sana
Labda kwenye matuta ni mtu haiHii sub ya veratti inakwenda kuwagharimu italia. Jamaa alikuwa ana u balance mpira.
Sub ya hovyo. Labda maandalizi ya matuta
Upo serious mkuu, mbona anaonekana mzee? Kama ni hivyo baada ya hapa atakuwa na future nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bayern manager Julian Nagelsmann confirms to Bild: “Chiesa is a great player, I think he's extraordinary. He's very fast with very good dribbling and finishing... but he also has a very, very high pricetag”. [emoji634]Mkuu kanamwili wa mazoezi wala si mzee.....anamiaka 23 anachezea Juventus mbona toka msimu uliopita kama sijakosea......alienda Juve akitokea Fiorentina ya palepale Italy...sema Bayern wanamtaka sahizi
Absolutely right!Rafael van der Vaart [emoji2788]: "This England side... they spend the whole game with their ass in their own box while having so much quality in the squad. It's sad."
View attachment 1850094
kwa miaka 30???England wasiposhinda hii kufika fainali tena mpaka baada ya miaka 30 ,save my comment
HahahahaaaMzee ameona mtt anataka kumletea mazoeaView attachment 1850092
Grealish na Rahim ni kundi moja tuu la wanaochezea mipira inaishia kupotea
Halafu hakuna VAR leo.Refa wa leo nimemuelewa sana. Kweli jama anaijua fainali.
Hakuna kuleta ulelemama. Anapeta tu.
Chiesa ana nguvu na anafanania na Mesi sema sio mwepesi kwenye ufungaji kama Mesi ila mguuni yuko poa sanaBayern manager Julian Nagelsmann confirms to Bild: “Chiesa is a great player, I think he's extraordinary. He's very fast with very good dribbling and finishing... but he also has a very, very high pricetag”. [emoji634]
Federico Chiesa is NOT leaving Juventus this summer. Untouchable.