denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Namuamini huyu kipa kwa alichowafanya Spain.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuamini huyu kipa kwa alichowafanya Spain.
Imani yako tuuEngland hawawezi ku win kwenye penalts..Subiri huone wakina Rashford!!
England ni timu nzuri sana kwenye matuta usije poteana mkuu.....England hawawezi ku win kwenye penalts..Subiri huone wakina Rashford!!
England hana bahati na matuta.
Italy win
Hakuna kitu kama hichoKwa hizi penati,England anashinda[emoji736]
We jamaa vipi?Staa gani atakosa penati? Mimi nabashiri Rashford
Luke shaw atokasa penaltWine ya Italy inanimbia Kane atakosa penati.
Ni kweli. Wanapigwa hawa hata wazomeeHistoria ya England kwenye penalti ni mbaya, labda waibadilishe leo.