usishangae napenda sana mpira toka nilipoanza kujijua mimi ni nani?since primary school!timu yangu ya nyumbani ni Yanga,nakumbuka timu zikiwa zinacheza enzi zile nipo primary nilikua nachukua karatasi na kalamu naandika list ya wachezaji kwa timu mbili zinazocheza!Najua dada zetu wa kibongo na mpira ni sawa na kibaka na polisi, kama u mdada kweli ntashangaa!
PORTUGAL unawatoa jamani?squadra azzurra hawafai kabisa!bora spain waende!ila Spain wanacheza vizuri kuliko Azzuri sasa sijui Squadra watapitaje hapo?Timu zitakazo ingia semi final
HOLLAND
AZZURI
GERMANY
CROATIA
kwani jamani mnasahau FRANCE ndo huwa anza yao!safari bado wataamka tu
PORTUGAL unawatoa jamani?squadra azzurra hawafai kabisa!bora spain waende!ila Spain wanacheza vizuri kuliko Azzuri sasa sijui Squadra watapitaje hapo?
I think portugal and holland for final
Timu zitakazo ingia semi final
HOLLAND
AZZURI
GERMANY
CROATIA
Portugal walipewa dozi na GERMANY world cup nafikiri tatu bila
...Hollo inaonekana FRANCE si kwamba walikuwa wamelala, walikuwa kwenye COMATOSE!, mpaka Italy ilipokuja ku switch off 'life support' ndio ukweli umejulikana!
Inasikitisha lakini ndio unafuu kwa 'mgonjwa'!
Ndo football hiyo!ila jana France baada ya kupata balaa la kuumia kwa Ribery,na kadi ya abdal basi ndo ukawa mwisho!any way ndo football bwana no way!
...Hollo inaonekana FRANCE si kwamba walikuwa wamelala, walikuwa kwenye COMATOSE!, mpaka Italy ilipokuja ku switch off 'life support' ndio ukweli umejulikana!
Inasikitisha lakini ndio unafuu kwa 'mgonjwa'!
Hio sijui AZZURI haman kitu jamaa wazito kweli sijui wamefunga weight miguuni?....mpaka sasa hivi Uholanzi ndio wanaonekana kuwa watakuwa mabingwa kidoogo na Portugal
Nakubaliana an wewe sana umeiongeza Spain hapo.....kwa kifupi ukiangalia timu hizi zinaonekana kulinyemelea kombe hiliNdio, Holland inaweza kuwa mabingwa lakini pia uiitupe Germany na Portugal na halikadhalika Spain.
Lakini mimi naona favourites ni Holland kwa kurudisha total football (mchezo wa counter attack kutoka golini kwako hadi kufunga).
Siri kubwa ni kwamba wachezaji wengi ni wadogo na wamekaa sana pamoja tangu world cup ya 2006 kwahio ile kitu togetherness inawasaidia sana.
Let's enjoy it!
mama naona unajisogeza kwetu,karibu karibu
Short and clear!!, safi mkuu ila ulipotea kweli kweli mkuu, leo umeibuka kwa reply ambayo ni short and clear!!
France wakumtoa kafara ni Kocha, MTAALAM umetoa comment nzuri,,!, we tangu lini lefties player kama Abidal akacheza beki wa kati? we ile naona line up nikajua leo Ze Blues wameingia CHOO CHA KIKE,.......... yaliyojiri kila mtu anajua, ni nadra sana kuona watumiaji wa guu la kushoto kucheza beki wa kati, embu cheki na boko za Silvestre, Heinze esp game na AC MILAN CL, Cygan etc, walikuwa wakicheza kati basi hapo lazima mtu acheze pumba!!
Still my money naweka kwa Portugal, na kwa sasa let me add Holland, Azzuri no where to go, hatua ya pili tu itawatosha.,
Mtaalam jamani unaniumiza sana ukisema uchenge!pls jamanihaya tungojee leo tuone u chenge wa huyu kocha wa russia gus hiddink..maana tusishangae akaivusha russia na sweden wakabaki!!
Hio sijui AZZURI haman kitu jamaa wazito kweli sijui wamefunga weight miguuni?....mpaka sasa hivi Uholanzi ndio wanaonekana kuwa watakuwa mabingwa kidoogo na Portugal