***Euro2008***

mHU Football jamani sasa ujerumani na uturuki sijui itakuwa?tusubiri jtano
 
Crotia mdembwendooo kwenye penati, hakuna kitu kabisa.
 
aah jamani, usiturushe roho ambao hatuwatch game, whats going on?

...Eehh, ngoja wengine waje waseme, Turkey are through!, inasikitisha lakini ndio hivyo!!!!
 
...Eehh, ngoja wengine waje waseme, Turkey are through!, inasikitisha lakini ndio hivyo!!!!

duh, lucky them, I expected so much from Croatia, pamoja na record nzuri walioingia nayo QF, hii ndio soccer kweli.
 
... miye nimeacha kuangalia... radio nimezima na tv nimezima!!!! I told you... Turkey wameshiba kebab nyingi mno..... hawatabiliki!!! si unajua tena.. ukiagiza kebab kuna mawili.... utaila na kuipenda au itakutapisha. full stop!

ha ha haaa haaa....

πŸ˜€

SteveD kuzima kwako Tv na redio ndio umewaponza wa Croats, wakashindwa hata kufunga!!!!
 
Naona portugal wanaregreat why walikuwa wa kwanza kwenye group leo timu waliyoifunga kwenye makundi inaenda nusi fainal!hata croatia nao!naona waliokuwa wanaongoza kundi A na B wote wamefungasha
 
Naona portugal wanaregreat why walikuwa wa kwanza kwenye group leo timu waliyoifunga kwenye makundi inaenda nusi fainal!hata croatia nao!naona waliokuwa wanaongoza kundi A na B wote wamefungasha

Kwa utabiri huo unasemaje Holland na Spain?
 
... miye nimeacha kuangalia... radio nimezima na tv nimezima!!!! I told you... Turkey wameshiba kebab nyingi mno..... hawatabiliki!!! si unajua tena.. ukiagiza kebab kuna mawili.... utaila na kuipenda au itakutapisha. full stop!

Leo naona walipata kebab ya turkey aliyekuwa anataga (mtetea) na wakazidisha mayonaisse.
 
Hollo,

I predict Spain nao watalala kwa Italy, ... Uholanzi chupuchupu kwa Russia...

lakini fainali Germany na Italy!

laleni salama.
 
duh, lucky them, I expected so much from Croatia, pamoja na record nzuri walioingia nayo QF, hii ndio soccer kweli.
Mama ndiyo hivyo tena... first half "sights and sounds of Croatia" wangetakiwa wawabamize hawa makebabish... uzembe wao!! Waturuki kebab wamezisweka na kama unavyojua tena zinakuwa digested mwishoni mwishoni... magoli yao yote ni ya dakika za mwisho!!

ha ha haaa haaa....

πŸ˜€

SteveD kuzima kwako Tv na redio ndio umewaponza wa Croats, wakashindwa hata kufunga!!!!
Mkuu wangu, ilibidi tu....mambo ya kurushia screen kwa hasira na vyupa vya wanzuki miye sipendelei!!

mHU Football jamani sasa ujerumani na uturuki sijui itakuwa?tusubiri jtano
Germans have had a free lesson to learn from Croatia, wasipo wafunga Turkey kipindi cha kwanza pamoja na straight forward football yao mithili ya magwaride ya vitani, wataimbishwa nyimbo kipindi cha pili.... sasa utaniambia, kuna wimbo gani ulishawahi kuusikia umetoka ujerumani ukiachilia mbali za yule mwimbaji Berlin?!! πŸ˜‰
 
Kwa utabiri huo unasemaje Holland na Spain?
Nina wasiwasi na Spain kama watakwenda nusu fainali!Holland wanaweza kuendelea ila Roman Pavlyuchenko si mchezo!Any way mpira bwana hasa hapa kwenye mtoano inakuwa ngumu sana kutabiri
 
..., kuna wimbo gani ulishawahi kuusikia umetoka ujerumani ukiachilia mbali za yule mwimbaji Berlin?!! πŸ˜‰

...na kweli, hivi lile kundi la Boney M walikuwa based nchi gani wale?
 
wa Swede hao wewe... nina album zao zote, tena kwenye vinyl!!! Luv'em!

...Producer wao alikuwa Mjerumani, ...hujachanganya na ABBA lakini?

Boney M. is a pop and disco group masterminded by West German record producer Frank Farian. The four original members of the band were Jamaicans Liz Mitchell and Marcia Barrett, Montserratian Maizie Williams, and Aruban Bobby Farrell.
 
...Producer wao alikuwa Mjerumani, ...hujachanganya na ABBA lakini?
ha ha ha ha ha.... nimechemsha big time... ni ABBA hao nilikuwa naongelea... duuh... huu mchemsho umeniua mbavu... ROFL!! anyway, mambo ya TGIF na wanzuki kwenye chupa za safari ambazo wala hazijawekwa kwenye majokofu, mapovu yanayoyoma hadi vizibo vinalipuka........weeeeee, za moto!! Na ukichukulia kuwa nimesha kula mihogo ya kuchoma tayari hapa nilipo, hiyo combo tumboni noma!!!....πŸ˜‰
 
...hiyo cocktail au mkorogo?...angalia tu usijeota unafukuzwa na ngiri! si unajua mihogo huwa haitulii tumboni!?

Poa, acha nami nikaomboleze huko nje, sikutegemea Croats kufungwa leo na hawa waturuki, wana mdomo kweli hawa, hapa naishi nao wawili!!!!

nite buddies...
 
...usiku mwema, mimi ngoja niendelee 'kudigest' mihogo... si unajua tena, ukilala mapema kabla haijasagika - ndoto hizo za ngiri ndizo zitakuandama usiku kucha...later
 
Nina wasiwasi na Spain kama watakwenda nusu fainali!Holland wanaweza kuendelea ila Roman Pavlyuchenko si mchezo!Any way mpira bwana hasa hapa kwenye mtoano inakuwa ngumu sana kutabiri

Hollo nakuaminia dadake, I still cant believe u mdada mtanzania!
 
Waturuki noma kichizi wamni haribia siku yangu leo ngoja nikalal ubwege mtupu yaani kupenda fb sometimes noma kichizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…