Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Leo nimeamini dua zinafanya kazi na tarajia wacroatia kulegea miguu na kuliona goli dogooo kwenye matuta!
I was right indeed!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimeamini dua zinafanya kazi na tarajia wacroatia kulegea miguu na kuliona goli dogooo kwenye matuta!
aah jamani, usiturushe roho ambao hatuwatch game, whats going on?
...Eehh, ngoja wengine waje waseme, Turkey are through!, inasikitisha lakini ndio hivyo!!!!
... miye nimeacha kuangalia... radio nimezima na tv nimezima!!!! I told you... Turkey wameshiba kebab nyingi mno..... hawatabiliki!!! si unajua tena.. ukiagiza kebab kuna mawili.... utaila na kuipenda au itakutapisha. full stop!
Naona portugal wanaregreat why walikuwa wa kwanza kwenye group leo timu waliyoifunga kwenye makundi inaenda nusi fainal!hata croatia nao!naona waliokuwa wanaongoza kundi A na B wote wamefungasha
... miye nimeacha kuangalia... radio nimezima na tv nimezima!!!! I told you... Turkey wameshiba kebab nyingi mno..... hawatabiliki!!! si unajua tena.. ukiagiza kebab kuna mawili.... utaila na kuipenda au itakutapisha. full stop!
Mama ndiyo hivyo tena... first half "sights and sounds of Croatia" wangetakiwa wawabamize hawa makebabish... uzembe wao!! Waturuki kebab wamezisweka na kama unavyojua tena zinakuwa digested mwishoni mwishoni... magoli yao yote ni ya dakika za mwisho!!duh, lucky them, I expected so much from Croatia, pamoja na record nzuri walioingia nayo QF, hii ndio soccer kweli.
Mkuu wangu, ilibidi tu....mambo ya kurushia screen kwa hasira na vyupa vya wanzuki miye sipendelei!!ha ha haaa haaa....
😀
SteveD kuzima kwako Tv na redio ndio umewaponza wa Croats, wakashindwa hata kufunga!!!!
Germans have had a free lesson to learn from Croatia, wasipo wafunga Turkey kipindi cha kwanza pamoja na straight forward football yao mithili ya magwaride ya vitani, wataimbishwa nyimbo kipindi cha pili.... sasa utaniambia, kuna wimbo gani ulishawahi kuusikia umetoka ujerumani ukiachilia mbali za yule mwimbaji Berlin?!! 😉mHU Football jamani sasa ujerumani na uturuki sijui itakuwa?tusubiri jtano
..., kuna wimbo gani ulishawahi kuusikia umetoka ujerumani ukiachilia mbali za yule mwimbaji Berlin?!! 😉
wa Swede hao wewe... nina album zao zote, tena kwenye vinyl!!! Luv'em!...na kweli, hivi lile kundi la Boney M walikuwa based nchi gani wale?
wa Swede hao wewe... nina album zao zote, tena kwenye vinyl!!! Luv'em!
Boney M. is a pop and disco group masterminded by West German record producer Frank Farian. The four original members of the band were Jamaicans Liz Mitchell and Marcia Barrett, Montserratian Maizie Williams, and Aruban Bobby Farrell.
ha ha ha ha ha.... nimechemsha big time... ni ABBA hao nilikuwa naongelea... duuh... huu mchemsho umeniua mbavu... ROFL!! anyway, mambo ya TGIF na wanzuki kwenye chupa za safari ambazo wala hazijawekwa kwenye majokofu, mapovu yanayoyoma hadi vizibo vinalipuka........weeeeee, za moto!! Na ukichukulia kuwa nimesha kula mihogo ya kuchoma tayari hapa nilipo, hiyo combo tumboni noma!!!....😉...Producer wao alikuwa Mjerumani, ...hujachanganya na ABBA lakini?
ha ha ha ha ha.... nimechemsha big time... ni ABBA hao nilikuwa naongelea... duuh... huu mchemsho umeniua mbavu... ROFL!! anyway, mambo ya TGIF na wanzuki kwenye chupa za safari ambazo wala hazijawekwa kwenye majokofu, mapovu yanayoyoma hadi vizibo vinalipuka........weeeeee, za moto!! Na ukichukulia kuwa nimesha kula mihogo ya kuchoma tayari hapa nilipo, hiyo combo tumboni noma!!!....😉
...usiku mwema, mimi ngoja niendelee 'kudigest' mihogo... si unajua tena, ukilala mapema kabla haijasagika - ndoto hizo za ngiri ndizo zitakuandama usiku kucha...later...hiyo cocktail au mkorogo?...angalia tu usijeota unafukuzwa na ngiri! si unajua mihogo huwa haitulii tumboni!?
Poa, acha nami nikaomboleze huko nje, sikutegemea Croats kufungwa leo na hawa waturuki, wana mdomo kweli hawa, hapa naishi nao wawili!!!!
nite buddies...
Nina wasiwasi na Spain kama watakwenda nusu fainali!Holland wanaweza kuendelea ila Roman Pavlyuchenko si mchezo!Any way mpira bwana hasa hapa kwenye mtoano inakuwa ngumu sana kutabiri