***Euro2008***

***Euro2008***

Rusia wanahisi wanacheza na Brazil, Spain ndiyo timu pekee ambayo haijafungwa mpaka sasa katika mashindano ya mwaka huu, hii ndiyo inaweza kuwa dawa ya Ujerumani.
 
Mama utabiri wako unaelekea kuwa kweli?si kweli?tusubiri jpili

My most probable number was on them, (but I keep in mind kuwa game ni kuanzia 90-penalties) and there must be a winner.
 
Davdi ndo katoka nani atafunga?Tores anataka kutoa machozi
 
Spain kama wamechoka hivi kama walilala Jolly...magoti hayana kazi....
 
Katika kila game kunahitajika one moment of brilliance na Xavi amefanya hivyo.
What a game!
 
umemuona anayefunga huyo... si Villa pekee

Nimeona kaka naona waspaniola wanasakata boli!Jamani nina swali yule babu alikuwaga Refa mzuri kabisa ana macho fulani hivi nafikiri alichezesha world cup
2002 kati ya Brazil na Germany anaitwa nani?I just need to remember his name yaani nimelisahau kabisa
Asante
Hollo
 
jamani Fabregas kamfunika Xavi ai naona vibaya.....dogo anatoa mapande kama former Vieira
 
hivi huyu kibabau aragones ana akili kweli...sasa agalia anamtoa Torres na kamaliza sub zake na bado dakik 20....kumuingiza Xabi kapatia maana fabregas atasogea mbele zaidi na alonso mzuri kama kiungo mkabaji......
 
Hawa warusi kwa nini sasa waliwatoa wadutch?hapa leo tungefaid mechi tamu kati ya holland na hispania.
 
Last edited by a moderator:
The best Midilfider fabregas mnamuona???? bao la pili anatengeneza kudadadeki.....
 
waungwana huu wimbo unaopigwa baada ya kila bao kuingia kuna mtu anaweza kujua jina lake?
 
mnamuona Fabregas???? pasi 3 toka kwake zoote....
 
Mmeona one touch za Spain kabla ya goli la pili?

Spain are absolutely brilliant!

Hivi Asharvin yumo kweli uwanjani au ndio kawekwa kapuni?
 
Huu ndiyo mfupa uliowashinda wadachi, Waspaniol wanautafuna kama mnofu vile.
 
Mjerumani atatia akili, duh. But I wish them the best watapocheza na timu ambayo haijafungwa hata match moja! Spain played well indeed.
 
Kuna watu wabishi jamaa mmoja hapa hakubali ananiambia Russia wanawasazisha.....
 
The best Midilfider fabregas mnamuona???? bao la pili anatengeneza kudadadeki.....

Haya baba tumekubali ila tarehe 16 Aug sio mbali bado ana uwanja mwingine mpana wa kuthibitisha hiyo sifa iliyompa
 
Habari zilizoingia muda si mrefu zinasema timu ya Ujerumani ambao walikuwa wanaangalia hii nusu fainali kwa hamu kujua mpinzani wao kwenye fainali wachezaji wake wamepata matatizo ya chakula walichokula na hivi sasa wamekimbilia kwenye vyoo walikofikia maana hali imekuwa mbaya. .....................kwi kwi kwi teh teh ..... Magoli matatu sio mchezo ati... Huyu Fabregas naona Aragones hamfahamu vizuri
 
Back
Top Bottom