European cars spare parts


mkuu nitajitahidi sana niweze ku-deliver....hadi sasa hivi nishaletea watu vitu vingi sana wiki hii tu nimedeliver air suspension za merceds e500 bei ni nusu ya bei ya hapa bongo, fan mercedes c240 bei hapa bongo ni 1.5m nimeleta kwa 1m,fuel pump ya mercedes c240 hapa bei ni laki 8 nimeleta kwa laki nne...wahusika wako more than satisfied!
 

kwenye muda najitahidi sana. unajua vitu nikinunua kama leo jumatano,jumamosi kinakuwa kimefika pale airport,sasa tatizo ni hapo kwenye kutoa kuna urasimu balaa! unaweza kutumia hata siku10 ndio hapo mteja anapokuona mbabaishaji,ila nitajitahidi muda nitakaosema kitu kifike.
 

Mkuu kama tatizo ni Front Brake Solenoid (P1757) basi TCM ni nzima. Front Brake Solenoid Valve ipo kwenye Valve Body ya gear box na kazi yake ni ku-shift gear ratio. May be utufafanulie ukiendesha inakuwaje??

CC: humbleguy, nk
 
Last edited by a moderator:
Mkuu humbleguy nitakutafuta kwenye simu kuna service manual ya gari yangu natafuta, tutaongea tuone kama unaweza kuniagizia kupata.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama tatizo ni Front Brake Solenoid (P1757) basi TCM ni nzima. Front Brake Solenoid Valve ipo kwenye Valve Body ya gear box na kazi yake ni ku-shift gear ratio. May be utufafanulie ukiendesha inakuwaje??

CC: humbleguy, nk

asante kwa ufafanunuzi,mimi hapo nilishamwambia ufundi katika hilo sina ila naweza kumtafutia spare atakayohitaji
 
wana JF hata parts za trucks mtu akihitaji namuagizia,tuwasiliane tu
 
Nina DRIVE BELTS/FAN BELT za VW GOLF IV/POLO....BMW E46 3 SERIES,BMW 5 SERIES,VW TOUREG,AUDI Q7,VOLVO S80,S70,V70,AUDI A3,KARIBUNI SANA
 
Wana JF nimeleta HEAD LAMP BULBS MADE IN GERMANY kwa gari zote za EUROPE na za kisasa za JAPAN......kwahio achaneni na bulb fake sasa hivi bulb original ninazo...
 

mkuu fanya mpango uongeze na spares za ford, nina ford explorer nimetafuta shock up nimekosa ikanibidi nifanye utundu kwa mafundi wa mtaani ,nimetafuta air cliner Mwanza yote nimekosa naambiwa niagize nairobi.naamini ford zipo kwa wingi sasa mjini tatizo spares zimekuwa ni shiidah
 

sawa kaka nitaweka very soon.
 
karibuni mpate na SPARK PLUGS za uhakika.....BOSCH,CHAMPION,DENSO za ukweli sio fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…