- Thread starter
- #21
Safi sana mkuu,jitahidi bei zako ziwe za kizalendo kabisa,na uwe mkweli kwenye muda hasa unapochukua order ya kumuagiza mtu spare.Hakuna haja kwanini Tanzania hatutumii gari za eroupe wakati congo,zimbabwe na hata zambia watu wanatumia tena used kabisa,wao spare wanapata wapi?
mkuu nitajitahidi sana niweze ku-deliver....hadi sasa hivi nishaletea watu vitu vingi sana wiki hii tu nimedeliver air suspension za merceds e500 bei ni nusu ya bei ya hapa bongo, fan mercedes c240 bei hapa bongo ni 1.5m nimeleta kwa 1m,fuel pump ya mercedes c240 hapa bei ni laki 8 nimeleta kwa laki nne...wahusika wako more than satisfied!