European cars spare parts

Kaka,
Una Engine Mounting za BWM 318??
Wauzaje?

BMW 318 kuna:
engine mounts
shock absorber zote nne
complete wishbone
stabilizer link
tie rod end assembly
wishbone bushes
brake pads
service parts zote

karibu sana mkuu.
 
una cylinderhead ya freelander2,2004 complete, manual transmision,4cylinder
 
Mkuu naweza pata shock absorber ya mbele ya 2001 Lexus is 200. Pia nahitaji stabilizer link, tie rod ends za gari hiyo. Naomba unitajie bei zake mkuu
 
service parts kama oil/fuel/air/cabin filters ni new....lakini ukitaka kitu kama headlamp ni chaguo lako unataka mpya au used.
Nitakutafuta mkuu tuongee biashara kwenye filters.
 
Wakuu sijaingia humu muda mrefu sana. Lakini nashukuru kwa support kubwa niliopata kutoka kwenu. duka langu limekua sana, naomba muendelee kuniunga mkono huku mkipata bidhaa za kiwango cha juu kabisa.
 

Boss nashukuru kwa post yako, swali kangu ni je kwakuwa magari mengi ya uk pamoja na german ni diesel powered, je umejaribu kuliangalia hilo kwa maana mimi nilikuwa na suzuki escudo ya diesel spares ilikuwa ni changamoto.
 
Boss nashukuru kwa post yako, swali kangu ni je kwakuwa magari mengi ya uk pamoja na german ni diesel powered, je umejaribu kuliangalia hilo kwa maana mimi nilikuwa na suzuki escudo ya diesel spares ilikuwa ni changamoto.
99% saloons ninayopata ni petrol vehicles. SUV 50/50.
 
utakuwa na half cut ya toyota yaris/vitz old model,na ni shs.ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…