European cars spare parts

European cars spare parts

Hongera sana. Una brake pads Na bumper Ya mbele Ya Merc C220 Ya mwaka 1996? Nipe bei
 
Una fan controller ya freelander Chasis namba ni SALFA23AX7H5783 petrol engine, niwekee bei hapa tafadhali.
 
Nakushauri pia ulete na spea za SUBARU maana tumechoka kukamuliwa pale ilala !!
 
Wana JF karibuni Sana, kwa mahitaji yenu ya spare za BMW,Mercedes Benz,Audi,Volvo spare halisi kutoka UK,German na nchi nyingine za ulaya
 
Habari wana JF. Nimefungua duka la spare kwa ajili ya magari ya EUROPE kama VW,AUDI,BMW.M.BENZ,JAGUAR,VOLVO,RENAULT,CITROEN,PEUGEOT,VAUXHALL,OPEL,PORSCHE CAYENNE,L.ROVER RR DISCO 2/3/4 na ALFA ROMEO. Service parts zote ninazo na vifaa vingine vidogo dogo.

Pia naweza kukuagizia spare yoyote kama utahitaji na mimi sina,ndani ya siku 7 inakuwa ishafika. Spare zote naagiza kutoka UK/GERMANY.Pia kuna spare za TOYOTA za UEROPE kama LEXUS IS/GS/RX,RAV4 VANGUARD,AVENSIS,YARIS,COROLLA VERSO. Kuna spare za NISSAN NAVARRA na PATHFINDER.

Pia ninazo DRIVE BELTS na HEAD LAMP BULBS za magari yote ya Europe na japanese za kisasa bila kusahau SPARK PLUGS ORIGINAL kama BOSCH,DENSO,CHAMPION made in Germany.

Pia bila kusahau naleta USED ENGINE,GEARBOX za magari yote ya Ulaya kama BMW,VW,AUDI,MERC BENZ,VOLVO,JAGUAR,L ROVER,LEXUS etc. Hizi naleta kwa order maalum ambazo huwa zinafika hapa ndani ya wiki moja tu.

Duka linaitwa JR Auto Parts lipo Kinondoni,nyuma ya soko la ma-TX karibu na kanisa katoliki,wote mnakaribishwa. Pia naweza kukuagizia gari/malori kutoka UK ambako kuna business partner wangu maalum kwa kazi hio. simu zangu ni 0686560365/0712183826. MY WHATTSAPP NUMBER IS 0712183826

Ukipenda kuniagiza spare ya gari tafadhali nipe make,model,year,engine size,manual/auto transmission au kuepuka mlolongo huo nipe VIN/chasis number

NIMEONGEZA HUDUMA,NAFANYA AUTO DIAGNOSIS KWA EUROPEAN MAKES NA JAPANESE MAKES AS WELL, NINA MASHINE YA KISASA KABISA....THE BEST IN BUSINESS

Wote mnakaribishwa.

cc: OLESAIDIMU RRONDO MANI CYBERTEQ Chacha Kisiri Kaizer

mambomoto pitia post hii halafu tuwasiliane.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wamiliki wa VW Polo nina vifaa vifuatsvyo
1.service kits
2.shock absorber zote mbele na nyuma
3.stabilizer link
4.radiator fan
5.complete wishbone/suspension control arms left and right
6.wishbone/suspension control arms bushes
 
New Parts

1.VW FANS

0
 
Back
Top Bottom