Tetesi: EuroWagon Kuishtaki TRC Kwa Kuivunjia Mkataba wa Kuleta Vichwa Na Mabahewa ya Treni ya SGR. Je Nchi Kuingia Hasara ya Kulipa Mabilioni Mengine?

Ngoja tuone...

Kwanza sijui ni nani aliyefanya uamuzi wa kwenda kutafuta treni za mtumba (vichwa 2, na hizo coaches 30) just for the sake of commissioning and testing...
Yote ulikuwa ni mipango ya Jiwe
 
Uhuni Huu Tanzania Inaliwa Kwa Mbinu Chafu Sana Ambazo Huwezi Amini
SGR Kamwe HaitatetembeA Itaishia Hujuma Za Aina Mbalimbali

Nchi Ya Watu Zaidi Ya Millions 60 Mambo Ndiyo Hovyo Hata Hicho Chama Dollar Kinaona Aibu. Tatizo Wanaoumia Ni Watanzani Masikini
 
Alikuwa msanii tu maana hao wanasheria alikuwa anawateua yeye
 
Ngoja tuone...

Kwanza sijui ni nani aliyefanya uamuzi wa kwenda kutafuta treni za mtumba (vichwa 2, na hizo coaches 30) just for the sake of commissioning and testing...
Magufuli na watu wake
 
Wakati mwingine hao wazungu kiburi chao kinaanzia hapa ndani kupitia wenzetu wasiowazalendo. Hili Taifa tulipaswa idara zetu zikigundua wapi boti inavuja aliyetoboa wapite nae hata tusijue.

Sasa corrupt system inaweza kutumia huo mwanya kupita na wasio hatia kwa visasi.
 
Refer kauli ya cdf na post ya Yeriko Nyerere. Tumeingiza foreigner's kwenye ngazi za maamuzi kwa kuwateua na badae wanaihujumu nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…