Tetesi: EuroWagon Kuishtaki TRC Kwa Kuivunjia Mkataba wa Kuleta Vichwa Na Mabahewa ya Treni ya SGR. Je Nchi Kuingia Hasara ya Kulipa Mabilioni Mengine?

Ngoja tuone...

Kwanza sijui ni nani aliyefanya uamuzi wa kwenda kutafuta treni za mtumba (vichwa 2, na hizo coaches 30) just for the sake of commissioning and testing...
Yote ulikuwa ni mipango ya Jiwe
 
Uhuni Huu Tanzania Inaliwa Kwa Mbinu Chafu Sana Ambazo Huwezi Amini
SGR Kamwe HaitatetembeA Itaishia Hujuma Za Aina Mbalimbali

Nchi Ya Watu Zaidi Ya Millions 60 Mambo Ndiyo Hovyo Hata Hicho Chama Dollar Kinaona Aibu. Tatizo Wanaoumia Ni Watanzani Masikini
 
Ipo hivi ndugu Mtanganyika.

Kuvunjwa kwa mkataba wowote lazima wanasheria wanakuwa wamepitia vipengere na kuangalia faida na hasara.

Ila sasa tatizo linakuja hapa; wao wanaangalia uoande wao nje na serikali I mean 10per endapo mkataba utavunjwa, kama mtu mmoja aliwahi kusema wanaenda kuongea na kampuni iliyo kwenye mkataba wafanye makusudi kuchelewesha needs ili kufikia lengo kama hili uliloandika.

Kumbuka late Pres. JPM aliwahi kulisema jambo kama hili kwa kuwaambia hao wanasheria wa serikali juu ya mikataba wanayoingia, "why serikali huwa inashindwa tu? "
Alikuwa msanii tu maana hao wanasheria alikuwa anawateua yeye
 
Ngoja tuone...

Kwanza sijui ni nani aliyefanya uamuzi wa kwenda kutafuta treni za mtumba (vichwa 2, na hizo coaches 30) just for the sake of commissioning and testing...
Magufuli na watu wake
 
Bundi anaendelea kuisakama Nchi linapokuja swala la mikataba ya Kimataifa.Saizi ni Zamu ya TRC na kampuni ya EuroWago.

Kampuni ya Euro Wagon ya Germany imeingia kwenye mzozo na TRC Kufuatia sakata la mabehewa na vichwa vya treni kutofikishwa Kwa wakati kulingana na mkataba ambao TRC na EuroWagon walisainiana mwaka 2020.

EuroWagon wanadai walipwe fidia Kwa kuvunjiwa mkataba wakati tayari walishanunua mabehewa na vichwa vya treni pamoja na gharama zingine za urekebishaji.TRC walivunja mkataba na kampuni hiyo Kwa kuchelewesha delivery.

EuroWagon wanasema wasipofikia muafaka na TRC Hadi January hii watalazimika kuchukua hatua zingine za kisheria.

Swali.
Napenda kufahamu,Je wanasheria Wetu Huwa hawawezi kujua potential risks kabla ya maamuzi yeyote ikiwemo Kuvunja mkataba au kusaini contract bila kuwa na vipengele vya kujiondoa Wakiwa salama?

My Take
Tumechoka kulipa mabilioni ya Kodi zetu Kwa uzembe wa watu wasiowajibika,hatua zinaze kuchukuliwa.
Wakati mwingine hao wazungu kiburi chao kinaanzia hapa ndani kupitia wenzetu wasiowazalendo. Hili Taifa tulipaswa idara zetu zikigundua wapi boti inavuja aliyetoboa wapite nae hata tusijue.

Sasa corrupt system inaweza kutumia huo mwanya kupita na wasio hatia kwa visasi.
 
Bundi anaendelea kuisakama Nchi linapokuja swala la mikataba ya Kimataifa.Saizi ni Zamu ya TRC na kampuni ya EuroWago.

Kampuni ya Euro Wagon ya Germany imeingia kwenye mzozo na TRC Kufuatia sakata la mabehewa na vichwa vya treni kutofikishwa Kwa wakati kulingana na mkataba ambao TRC na EuroWagon walisainiana mwaka 2020.

EuroWagon wanadai walipwe fidia Kwa kuvunjiwa mkataba wakati tayari walishanunua mabehewa na vichwa vya treni pamoja na gharama zingine za urekebishaji.TRC walivunja mkataba na kampuni hiyo Kwa kuchelewesha delivery.

EuroWagon wanasema wasipofikia muafaka na TRC Hadi January hii watalazimika kuchukua hatua zingine za kisheria.

Swali.
Napenda kufahamu,Je wanasheria Wetu Huwa hawawezi kujua potential risks kabla ya maamuzi yeyote ikiwemo Kuvunja mkataba au kusaini contract bila kuwa na vipengele vya kujiondoa Wakiwa salama?

My Take
Tumechoka kulipa mabilioni ya Kodi zetu Kwa uzembe wa watu wasiowajibika,hatua zinaze kuchukuliwa.
Refer kauli ya cdf na post ya Yeriko Nyerere. Tumeingiza foreigner's kwenye ngazi za maamuzi kwa kuwateua na badae wanaihujumu nchi
 
Back
Top Bottom