Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kosa likifanyika mwaka 2015 kuwapa uongozi watu wasiyo na subira kwenye maamuziNchi ya majanga,kichwa Cha Mwendawazimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa likifanyika mwaka 2015 kuwapa uongozi watu wasiyo na subira kwenye maamuziNchi ya majanga,kichwa Cha Mwendawazimu.
Nakukubalia kwa 100%Madhara ya wakimbizi kuwepo kwenye nafasi za maamuzi.
Yote ulikuwa ni mipango ya JiweNgoja tuone...
Kwanza sijui ni nani aliyefanya uamuzi wa kwenda kutafuta treni za mtumba (vichwa 2, na hizo coaches 30) just for the sake of commissioning and testing...
Mazwazwa ya Lumumba yatakuja mbio kama ngiri kushangilia[emoji1787]Mama tusaidie CHADEMA wanavunja mikataba bila kufuuata utaratibu wa sheria hali inayocost nchi! Mama ni msikivu
Mazwazwa ya Lumumba yatakuja mbio kama ngiri kushangilia[emoji1787]
Alikuwa msanii tu maana hao wanasheria alikuwa anawateua yeyeIpo hivi ndugu Mtanganyika.
Kuvunjwa kwa mkataba wowote lazima wanasheria wanakuwa wamepitia vipengere na kuangalia faida na hasara.
Ila sasa tatizo linakuja hapa; wao wanaangalia uoande wao nje na serikali I mean 10per endapo mkataba utavunjwa, kama mtu mmoja aliwahi kusema wanaenda kuongea na kampuni iliyo kwenye mkataba wafanye makusudi kuchelewesha needs ili kufikia lengo kama hili uliloandika.
Kumbuka late Pres. JPM aliwahi kulisema jambo kama hili kwa kuwaambia hao wanasheria wa serikali juu ya mikataba wanayoingia, "why serikali huwa inashindwa tu? "
Wacha kumvunja mleta uzi,kama ulileta kipindi hicho sawa lkn Sasa nayeye kaleta wacha tuendelee kuchangiaHili lililetwa humu kitambo, tuliisha malizana nao.
P
Jiwe atandelea kulaanikaNiamini Tanzania ingekuwa mbali sana, kama si hiyo mikataba mibovu inayosainiwa, kuna uzito gani juu ya wahusika kuwajibishwa? /upo uzembe fulani hapa.
Haya, sasa wahi Buguruni ukaandamane jiwe kafufuka 🐼Yote ulikuwa ni mipango ya Jiwe
Kesi haijaisha hii awamu ni dhaifu wanaleta kesi upya ,hapo kushindwa lazima watu wapata fidia .Wacha kumvunja mleta uzi,kama ulileta kipindi hicho sawa lkn Sasa nayeye kaleta wacha tuendelee kuchangia
Magufuli na watu wakeNgoja tuone...
Kwanza sijui ni nani aliyefanya uamuzi wa kwenda kutafuta treni za mtumba (vichwa 2, na hizo coaches 30) just for the sake of commissioning and testing...
🚮🚮Kwa mfano kumwachia Muarabu awe rais huku akigawa rasilimali za nchi kama Mbuga zetu, bandari zetu nk kwa ndugu zake
Anatakiwa achunguzwe uraia wake.Ngoja tuone...
Kwanza sijui ni nani aliyefanya uamuzi wa kwenda kutafuta treni za mtumba (vichwa 2, na hizo coaches 30) just for the sake of commissioning and testing...
Wenzako wako kuandamana wewe unafanya nini humu jf?Jiwe atandelea kulaanika
Inaongozwa na kina nani??Nchi ya majanga,kichwa Cha Mwendawazimu.
WatzInaongozwa na kina nani??
Wakati mwingine hao wazungu kiburi chao kinaanzia hapa ndani kupitia wenzetu wasiowazalendo. Hili Taifa tulipaswa idara zetu zikigundua wapi boti inavuja aliyetoboa wapite nae hata tusijue.Bundi anaendelea kuisakama Nchi linapokuja swala la mikataba ya Kimataifa.Saizi ni Zamu ya TRC na kampuni ya EuroWago.
Kampuni ya Euro Wagon ya Germany imeingia kwenye mzozo na TRC Kufuatia sakata la mabehewa na vichwa vya treni kutofikishwa Kwa wakati kulingana na mkataba ambao TRC na EuroWagon walisainiana mwaka 2020.
EuroWagon wanadai walipwe fidia Kwa kuvunjiwa mkataba wakati tayari walishanunua mabehewa na vichwa vya treni pamoja na gharama zingine za urekebishaji.TRC walivunja mkataba na kampuni hiyo Kwa kuchelewesha delivery.
EuroWagon wanasema wasipofikia muafaka na TRC Hadi January hii watalazimika kuchukua hatua zingine za kisheria.
![]()
TRC, Turkish firm in dispute over locomotives, coaches
A contentious tussle over the procurement of used and refurbished railway machinery has erupted between Tanzania Railways Corporation (TRC) and Eurowagon Demiryolu Ticaret ve Limited (EW)www.thecitizen.co.tz
Swali.
Napenda kufahamu,Je wanasheria Wetu Huwa hawawezi kujua potential risks kabla ya maamuzi yeyote ikiwemo Kuvunja mkataba au kusaini contract bila kuwa na vipengele vya kujiondoa Wakiwa salama?
My Take
Tumechoka kulipa mabilioni ya Kodi zetu Kwa uzembe wa watu wasiowajibika,hatua zinaze kuchukuliwa.
Refer kauli ya cdf na post ya Yeriko Nyerere. Tumeingiza foreigner's kwenye ngazi za maamuzi kwa kuwateua na badae wanaihujumu nchiBundi anaendelea kuisakama Nchi linapokuja swala la mikataba ya Kimataifa.Saizi ni Zamu ya TRC na kampuni ya EuroWago.