Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Shemela, kuna bwanaako Glenn amenichimba mkwala hapo juu. Sasa akisikia kuwa nimekutumia vitumbua vya wajina wako si atatema povu la foma gold.!?? Bantu Lady njoo ushuhudie povu huku..!!Shemeji ukipata access ya kuona hivyo vitumbua utanitumia pm nami nivione
Bwana bwana, sikukwambia Evelyn Salt ni mke wangu bali nilikwambia ni mke wa mtu hivyo tu.Shemela, kuna bwanaako Glenn amenichimba mkwala hapo juu. Sasa akidikia kuwa nimekutumia vitumbua vya wajina wako si atatema povu la foma gold.!?? Bantu Lady njoo ushuhudie pounds huku..!!
Mbona neno shemeji lipo..! Muulize hata Bantu Lady au Evelyn Salt mwenyeweUwe unamalizia...shemejii
Mimi sijasema Evelyn Salt mume wake ni wewe, bali bwanaake. Kuna tofauti kati ya mume na bwanaBwana bwana, sikukwambia Evelyn Salt ni mke wangu bali nilikwambia ni mke wa mtu hivyo tu.
Humu sina mke wote wa humu ni dada zangu.
Sasa unanichongea kwa Bantu Lady ni uonevu sasa😂
Sasa si mke wa shemeji yetu sote au?Mbona neno shemeji lipo..! Muulize hata Bantu Lady au Evelyn Salt mwenyewe
Hakunaga injinia mwenye kichwa kizito. Yaani wote wapo swafiii kabisaaaSasa si mke wa shemeji yetu sote au?
Lakini Bantu Lady ni mwelewa sana alishaelewa wewe ndio kichwa kizito injinia😂😂
Ndio mlipata na Evelyn Salt niwe bwanake? Nimekataa sasa, mrudishie taarifa😂Mimi sijasema Evelyn Salt mume wake ni wewe, bali bwanaake. Kuna tofauti kati ya mume na bwana
Labda umekuwa injinia wa mchongo🤣Hakunaga injinia mwenye kichwa kizito. Yaani wote wapo swafiii kabisaaa
Aagh wapiii..!!!Labda umekuwa injinia wa mchongo🤣
Mkeo tokea lini 🏃Msiwe na viherehere vya kutaja majina ya wake za watu mkuu😂😂
Evelyn Salt
Mkuu nimesema ni mke wa mtu, wp nimesema ni mke wangu?😅Mkeo tokea lini 🏃
Uko poa lkn?Aagh wapiii..!!!
Poa sana..!! Hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yanguUko poa lkn?
Evelyn Salt ni shemeji yako Ngalikihinja. Enhee nimekumbuka Glenn nikusemee kwa Ngali?Mbona neno shemeji lipo..! Muulize hata Bantu Lady au Evelyn Salt mwenyewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hizi sms tuliwaandikia videmu wa primary enzi hizo mkuu...Poa sana..!! Hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu