Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

Shemela, kuna bwanaako Glenn amenichimba mkwala hapo juu. Sasa akidikia kuwa nimekutumia vitumbua vya wajina wako si atatema povu la foma gold.!?? Bantu Lady njoo ushuhudie pounds huku..!!
Bwana bwana, sikukwambia Evelyn Salt ni mke wangu bali nilikwambia ni mke wa mtu hivyo tu.
Humu sina mke wote wa humu ni dada zangu.
Sasa unanichongea kwa Bantu Lady ni uonevu sasa😂
 
Back
Top Bottom