Evening Classes Za Postgraduate Studies UDSM Ni Lazima Kufika Darasani Kila Siku Ya Vipindi?

Evening Classes Za Postgraduate Studies UDSM Ni Lazima Kufika Darasani Kila Siku Ya Vipindi?

MATEO GODFREY

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
55
Reaction score
89
Habari wanajamii
Nilitamani kufahamu kama Zile postgraduate programs ambazo sio blended ama online classess pale udsm ni lazima kuattend vipindi physically au kuna nafasi ya kuhudhulia kwenye platforms kama zoom na e-learning platforms zingine (Moodle)
Je kwa mtu ambae anasafiri kila wakati hii kwake inawezakuwa changamoto?
 
Back
Top Bottom