Everly Salt mpaka nife kwa ajiri yako ndio nakupenda

chief_mtemi

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
529
Reaction score
121
Hello bandugu.jamani nateseka sana juu ya huyu mrembo./Everlyn Salt kila nampomuoneshea nampenda haonekani kabisa sasa.leo nimeamua kumtuma mjumbe Mamndenyi popote ulipo nena na huyu binti ikiwezekana alika na wengine mkanene nae niatgarmia usafiri na mengine yote ikiwamo kukupa walinzi dhidi ya mkuu Slave.nakuomba sana fanya hivyo hapa nilippo nina usingizi wa wiki nzima maana sijalala namuwaza yeye tu
 
Last edited by a moderator:
Kha! Yaaninunamchulia Mamndenyi unataka yeye ndo Slave amchome na kitu chenye ncha kali?
 
Last edited by a moderator:
Hello bandugu.jamani nateseka sana juu ya huyu mrembo./Everlyn Salt kila nampomuoneshea nampenda haonekani kabisa sasa.leo nimeamua kumtuma mjumbe Mamndenyi popote ulipo nena na huyu binti ikiwezekana alika na wengine mkanene nae niatgarmia usafiri na mengine yote ikiwamo kukupa walinzi dhidi ya mkuu Slave.nakuomba sana fanya hivyo hapa nilippo nina usingizi wa wiki nzima maana sijalala namuwaza yeye tu

Asante kwa kunipa hii. Kwa sasa niko taiti na maandalizi ya mashindano ya mama bantu wa jf.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kunipa hii. Kwa sasa niko taiti na maandalizi ya mashindano ya mama bantu wa jf.
hahaha bibi una bwebweee ka pilau....haya kila laheri na mama bantu wa jf.uje na mashindano ya sura ya kikauzu jf
 
Mamndenyi okoa roho yangu pls maana au kwakuwa mkuu Bishanga kakutisha hapo juu mm nipo tayari kukupa ulinzi mkali dhidi ya yeyote atakayetaka kukudhuru
 
Last edited by a moderator:
heheheheheheheeeeeeeeee mashindano ya mama bantu
nami niweke humo katika hiyo list usinikoseshe tuzo yangu bestito
Asante kwa kunipa hii. Kwa sasa niko taiti na maandalizi ya mashindano ya mama bantu wa jf.
 
mayoooooo!! Slave kuja pande hii
unyumba wako u mashakani,napita zangu!!
 
Last edited by a moderator:
Duh! kweli mapnz yana rani dunia,ww bint everly Salt njoo uokoe nafsi ya mtu huku lol!
[h=2][/h]
 
Last edited by a moderator:
itabidi nianzishe mashindano ya sura ya kikauzu yahapa jf
halafu wewe utakuwa jaji waonaje hillo?
hahaha bibi una bwebweee ka pilau....haya kila laheri na mama bantu wa jf.uje na mashindano ya sura ya kikauzu jf
 
itabidi nianzishe mashindano ya sura ya kikauzu yahapa jf
halafu wewe utakuwa jaji waonaje hillo?
ni sawa ila mi naisi ntakuwa mshiriki maana mi sura chachu ngumu ndo maana hata maduu hawanitaki mix hizi raster do salalaaa wangu wazungu tu,wafrika hawanitaki hata bure
 
achana nao hao bhana hawajui maana ya hizo rasta jaa
acha kujiona hufai best; mbona wavutia sana best

Back
Top Bottom