Everly Salt mpaka nife kwa ajiri yako ndio nakupenda

Everly Salt mpaka nife kwa ajiri yako ndio nakupenda

Mpe mistari.huitaji kupeleka ujumbe kupitia watu ooohoooo.itakula kwako..
Hakatwi mtu hapa
 
Mwambie Mamndenyi Ukimuona...ukimuona
nenda kamwambie marafiki,mashoga marafiki wabaya tena wasimdanganye..
Ubaya kinachoniumiza maneno maneno,kutwa nzima moyo unaniuma,nipo ninasaga rhumba..ukimuona
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
komaa mbaba mapenzi ya Tz ubishi tu,unapo kataliwa leo kesho ndio hifadhi yako
 
Mwambie Mamndenyi Ukimuona...ukimuona
nenda kamwambie marafiki,mashoga marafiki wabaya tena wasimdanganye..
Ubaya kinachoniumiza maneno maneno,kutwa nzima moyo unaniuma,nipo ninasaga rhumba..ukimuona

Chimbuvu unasemaje.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom