chief_mtemi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 529
- 121
Hello bandugu.jamani nateseka sana juu ya huyu mrembo./Everlyn Salt kila nampomuoneshea nampenda haonekani kabisa sasa.leo nimeamua kumtuma mjumbe Mamndenyi popote ulipo nena na huyu binti ikiwezekana alika na wengine mkanene nae niatgarmia usafiri na mengine yote ikiwamo kukupa walinzi dhidi ya mkuu Slave.nakuomba sana fanya hivyo hapa nilippo nina usingizi wa wiki nzima maana sijalala namuwaza yeye tu
hahaha bibi una bwebweee ka pilau....haya kila laheri na mama bantu wa jf.uje na mashindano ya sura ya kikauzu jfAsante kwa kunipa hii. Kwa sasa niko taiti na maandalizi ya mashindano ya mama bantu wa jf.
Asante kwa kunipa hii. Kwa sasa niko taiti na maandalizi ya mashindano ya mama bantu wa jf.
Asante kwa kunipa hii. Kwa sasa niko taiti na maandalizi ya mashindano ya mama bantu wa jf.
heheheheheheheeeeeeeeee mashindano ya mama bantu
nami niweke humo katika hiyo list usinikoseshe tuzo yangu bestito
Unaona eeh yaani hapa majina yapo mengi nafasi ni za kugombea.
hahaha bibi una bwebweee ka pilau....haya kila laheri na mama bantu wa jf.uje na mashindano ya sura ya kikauzu jf
ni sawa ila mi naisi ntakuwa mshiriki maana mi sura chachu ngumu ndo maana hata maduu hawanitaki mix hizi raster do salalaaa wangu wazungu tu,wafrika hawanitaki hata bureitabidi nianzishe mashindano ya sura ya kikauzu yahapa jf
halafu wewe utakuwa jaji waonaje hillo?
lakini mm si nimo best au nimetolewa?
ni sawa ila mi naisi ntakuwa mshiriki maana mi sura chachu ngumu ndo maana hata maduu hawanitaki mix hizi raster do salalaaa wangu wazungu tu,wafrika hawanitaki hata bure
Lazima uwemo. mwambie mia aninakilie majina yote ili niyafanyie kazi.