hahahaaaaaaaaa ngoja nimwalike aje aandike hayo majina.
mia mia unaitwa huku figganigga njoo huku
aaa mmm aa mambo vipi mtoto.yani kama nimepata msaada wa maji ya baridiiii baada ya kutoka nyikani jua kali baada ya kuona mwandiko wako tu
Mpe mistari.huitaji kupeleka ujumbe kupitia watu ooohoooo.itakula kwako..
Hakatwi mtu hapa
penda unapopendwa...
Mistari ya maneno au ya hela?
Passion Lady sasa unamuita Slave wann muache aisee hafu nilitegemea ww nawe unipe jeki kumnasa huyu mrembo.natangaza dau kubwa kwa yoyote atakaye wezesha hili zoezi nampa zawadi nono Mamndenyi nahisi kashanunuliwa na Slave kanitosa hata kunipa altenative
mwl Evelyn Salt hebu okoa huyu mwanafunzi wako.
aaahaaaaa!!kama kuna
mshiko njoo kule secret rum
unikabidhi thn nikupigie debe!!
mmh eti mwalimu nainamishwa kichwa na mwanafunzi hii kali...
subiri kwanza nipate majibu kutoka kwa Mamndenyi
komaa mbaba mapenzi ya Tz ubishi tu,unapo kataliwa leo kesho ndio hifadhi yako