Everly Salt mpaka nife kwa ajiri yako ndio nakupenda

everlyn Salt nimekuomb japo tutoke out hujanijibu kila nikipenyeza ombi japo nikuone hujibu basi naomba nikuambie yale niliyokusudia kukuambia.Nakupenda sana u make me crazy pls hold me promise u great love tht u wont regreat.my feeling counts ur presense all the time.
 
Last edited by a moderator:
First rule of engagement, "keep your enemy closer to you"
 

Aisee! Mashairi ya namna hii mara ya mwisho nilimuimbia Lizzy mwaka 1972!
CC: Nyani Ngabu......si unakumbuka kipindi kile unafanya kazi ya ukorokoroni mwaloni kirumba mwanza?
 
Last edited by a moderator:
Ankal kaizer zigo la mapenzi alilojitwisha ndo linamfanya ashindwe kuandika teh!
 
wewe jidai tu ngoja dawa yako

Wacha nijidai kwakuwa nitajilipa nikipata ,na ole wako nione unamkonyeza my wife wangu ndo utajua kwanini meli yenye shehena ya madawa imeshitukiwa
 
Wacha nijidai kwakuwa nitajilipa nikipata ,na ole wako nione unamkonyeza my wife wangu ndo utajua kwanini meli yenye shehena ya madawa imeshitukiwa

daa mm nikishindwa kabisa itabidi tukubaliane wote awe mke wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…