Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

I do not think if all this narrative is true, it seems to be too good to be true. If they really intended to kill him, I doubt you could even get this information. My guess you are just spinning the pot, or building a conspiracy scenario. If they really killed him and decided to wipe-out all the evidence, how is it possible for some one like you to be able to build a case from no evidence.
Iran wanasema ni hali ya hewa tuendelee kuamini hivyo.
 
Aisome hii mfia haya mavitu brazaj
Tulishawaambia na tutawaambia tena...
 
Zile vita Israel walipata madhara sana upande wao wa kaskazini missile nyingi sana za hezbullah zilikuwa zinafanya uhalibifu sana kule Israel, kwa kipindi kile Israel hawakuwa na Iron dome.
Na ndo chazo cha kutengeneza iron dome ndo zile vita.

Ila walebanon walikufa wengi sana hata hezbullah fighter walikufanya wengi sana.
 
Iran na Russia Wana Nini,zaidi ya masaa 16 hawakujua helicopter imeanguka wapi Hadi uturuki walipowapa drone zao ndio wakajua ndani tu ya dakika
Russia hawakuhusika na utafutaji,ila kama wangehusika basi kazi ingekua nyepesi zaidi.
 
Alopeleka kelele nyingi ni Israel sio Hizbollah.
Na aliyeomba cease fire ni Israel sio Hizbollah.
Mambo yako wazo dunia ya utandawazi hii mtamdanganya nani!?
Zile vita uharibifu Israel ulikuwa mkubwa coz ya missile za hezbullah
 
Zile vita uharibifu Israel ulikuwa mkubwa coz ya missile za hezbullah
Ila Lebanon iliharibiwa zaidi na vifo vya raia Lebanon vilikua vingi mnoo.
Japo Hizbollah walifanikiwa kuzuia jeshi la IDF kuikalia Bint jubeir.
 
"When the righteous prosper, the city rejoices;
when the wicked perish, there are shouts of joy."

Proverbs 11:10
 
Ila Lebanon iliharibiwa zaidi na vifo vya raia Lebanon vilikua vingi mnoo.
Japo Hizbollah walifanikiwa kuzuia jeshi la IDF kuikalia Bint jubeir.
Yah nakubali, kilichotokea ni Israel mission yao ilifeli.
Ila hezbullah fighter walikufa wengi sana mpk raia wa Lebanon
 
Yah nakubali, kilichotokea ni Israel mission yao ilifeli.
Ila hezbullah fighter walikufa wengi sana mpk raia wa Lebanon
Sasa watu kushinda mapigano huwa wanachukulia number of casualties badala ya kukamilika kwa mission.
Licha ya Hizbollah kufa wengi ila mkakati wa hizbollah ulifanikiwa na wa Israel kufeli.
 
You can never,I repeat never hide all the footprints of a conspiracy,there will always be a signature.Even God has signatures,sembuse mwanadamu! I do not know where you get these naive ideas,but I believe it is out of the desire to hide evil.You are definitely being used to do just that.
 
Sasa watu kushinda mapigano huwa wanachukulia number of casualties badala ya kukamilika kwa mission.
Licha ya Hizbollah kufa wengi ila mkakati wa hizbollah ulifanikiwa na wa Israel kufeli.
Kwani vile vita vilipiganiwa wapi mkuu???
 
Kwani vile vita vilipiganiwa wapi mkuu???
Vilipiganwa kusini mwa Lebanon eneo liitwalo Bint jubeir.
Japo chanzo kilianza kwa Hizbollah kuvamia askari wa mpakani wa Israel wa mpaka wa kaskazini, waliua watatu na kuwateka watano ili wadai wana Hizbollah wao waliokamatwa na Israel waachiwe ambapo kuna mmoja alikua kiongozi.
 
Kama hayo matukio yalikua kweli lugha rahisi waswahili wanasema kutesa kwa zamu
 
Porojo tu,no substance
 
You are still on betting, the World rulers, the Israel are in actions..!! Keep on betting..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…