Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless.

lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu.

01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli mchungu ambao una paswa kuufahamu, namba ya wasomi wasio na ajira ni kubwa sana.

Sio tu kwa nchi yetu hata nchi nyingine bado wana tambua changamoto hii, hivyo hili lielewe kichwani.

02, mikakati mizuri ni bora kuliko maamuzi ya kukurupuka, mi nafikiri kabla ya kuitisha hizi press conference ili paswa kuwasiliana na viongozi baadhi wenye ushawishi kuanzia wachungaji, mashekhe wanasheria na hata viongozi wastaafu.

ili kuweza kupata namna gani bora ya kuwasilisha hoja zetu, tuna fahamu kuwa uongozi ni ngazi hapo uki ulizwa Ume mfikishia nani taarifa uta sema serikali, Sasa serikali haina mawaziri wa elimu?, sekta ya kushughulikia ajira mme wafata?

03, Mikakati ya chama Cha ma jobless pro max ni kuji kwamua kiuchumi, hili ndio lengo haswa la chama Chetu kwa kuunda mipango na Mikakati bora ili kuweza kuwawezesha vijana wawe na unafuu wa maisha.

baada ya kuona hatuwezi kupata ajira wote, he hii namba inayo baki Ina kwenda wapi?.

Endapo chama kki sajiliwa na kikawa na shughuli zenye kuaminika, vijana mna weza kupata hata mikopo.

04, usalama wako ewe jobless ni muhimu, kijana huku uraiani kuna kina wasio julikana kibao wana subiri kuonyesha uwezo wa kazi kupitia raia.

kwanza tunge Soma upepo tuna elekea kwenye uchaguzi, na hata vuguvugu la kumpata kiongozi na Kama ujuavyo wao kufikiria vyema sio kipaji Chao.

Wasije wakaona wewe ni tishio kwao, hivyo makinika.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
OIG4 (7).jpeg
 
vijana wajinga kama nyie bado mpo ambao hamtak mabadiliko mnaish kwa kujifariji

kati ya wanafunzi 100 wanaomaliza form 4 ni wanafunzi 12 pekee ndo wanafika level ya vyuo. vya kati na vyuo vikuu

licha idadi ndogo ya graduates bado serikali imeshindwa kuajiri
vijana
kama nyie mnajikunyata kwenye kivuli cha kujiajiri huku maisha yenu yakiwa ni mateso na stress tupu.

ufisadi ,kukokosa viong wenyw upeo kuna sababisha vijna kukosa ajira. vijana wakirise ,wakianzisha movements wanakutana na vijana sampuli yako ambao technically ni hasara
 
Back
Top Bottom