makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Wasalimie hapo kisasa sheliiiiiWewe...kha!!
Hao pia ni jamii ya wagogo.
Kuna wagogo original hawa wamebase sana na kufuga halafu kuna hawa wagogo wanyambwa wao wamebase sana kwenye kulima ndio tofauti yao ilipo
Kidumu chama Cha ma jobless pro max😎🤏umesikika. Kidumu chama Cha majobless pro max ✊🏿
Mh. Rais wewe tuliaaaaa! Kwani mlinzi wako Yuko wapi 😂danganyaneni😂😆
sema ndo Wana fanya uchumi wa viwanda una kua 😂😂Chaputa mnatumalizia mafuta na sabuni dukani.
Jipige kifua, life goes onMnamo mwaka wa 2019, nilikuwa kwenye miadi na mwanamke mmoja. Alipogundua kwamba nilikuwa nimemdanganya, alinipa kauli mbaya sana: "Huna pesa wala mapenzi, wewe kiumbe usiyeridhika, tukuweke kwenye kundi gani?" Kauli hii Ilinivuruga sana kwa kweli.
Ongena na mwenye chama aelimishe vijana wake kuhusu hilo😂 dronedrakeChaputa mnatumalizia mafuta na sabuni dukani.
Nilishaamua maishani mwanagu ni bora niendeee kupiga nyeto mapaka nife lakini sio kuoa mwanamke mbaya.Utavumilia si unataka kutunzwa😃
Ila mnyambwa ukimpa nyumba yako akulindie ujue imekwenda na maji.Wasalimie hapo kisasa sheliiiii
Pole sana Mkuu! Umekumbuka hii kauli kwa usahihi!Mnamo mwaka wa 2019, nilikuwa kwenye miadi na mwanamke mmoja. Alipogundua kwamba nilikuwa nimemdanganya, alinipa kauli mbaya sana: "Huna pesa wala mapenzi, wewe kiumbe usiyeridhiki, tukuweke kwenye kundi gani?" Kauli hii Ilinivuruga sana kwa kweli.
Aisee kwa hali hii sijui kama mtaoasema ndo Wana fanya uchumi wa viwanda una kua 😂😂
Aiseeee!Ila mnyambwa ukimpa nyumba yako akulindie ujue imekwenda na maji.
Utakuja kuikumbuka baada ya miaka 40 mbele.
Uchawi wao upo kwenye kupenda Ardhi
Familia muhimuAisee kwa hali hii sijui kama mtaoa
Upate kahawa Mh. Rais!Familia muhimu
dronedrake na company yako ya Chaputa ujumbe ukufikie.Ongena na mwenye chama aelimishe vijana wake kuhusu hilo😂 dronedrake
Kabisa.Aiseeee!
Kumbe ni mchezo wao?
Kula yenyewe ya manati, unataka ulete mtoto wa watu kwaajili gani? Utamlisha porojo!Aisee kwa hali hii sijui kama mtaoa
Kabisa.Familia muhimu
Niliwahi kufanya kazi ya kujitoleaKabisa.
Bora hawa wagogo wazawa