Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??

  • Total voters
    139
Mnamo mwaka wa 2019, nilikuwa kwenye miadi na mwanamke mmoja. Alipogundua kwamba nilikuwa nimemdanganya, alinipa kauli mbaya sana: "Huna pesa wala mapenzi, wewe kiumbe usiyeridhiki, tukuweke kwenye kundi gani?" Kauli hii Ilinivuruga sana kwa kweli.
 
Pole sana Mkuu! Umekumbuka hii kauli kwa usahihi!

Maana yake ilikuumiza sana!

Mimi SEMAJI LA CHAMAAAA nakupa pole na Kukutia moyo kwamba!

Hakuna Magumu yanayodumu!
 
Back
Top Bottom