Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
Mimi nafikiri jobless ndio angetakiwa kulipwa pesa nyingi kuliko kada yoyote ile hapa tz na marupurupu juu.
Maana kuwa jobless is not easy ni kazi moja ngumu sana sio kila mtu anaweza.
Kuwa jobless mtu anaathirika psychologically, mentally, economically, socially, biologically ni hatari
 
naam, kuwa jobless ni sawa na suicide mission.
 
Salama sana ndugu raisi, nikiwa kama waziri wa mambo ya ndani wa chama chetu cha majobless pro max.

Nipende kuwakaribisha kwenye chama ndugu Selikavu pamoja na Edo kissy niwaambie tu karibuni sana lakini team yangu itaendelea kuwafanyia uchunguzi ili tujiridhishe zaidi na utiifu wenu na unyenyekevu kwaajiri ya maendeleo ya chama chetu.😂😂😂
 
waki zingua chapa viboko😆🤣
 
Mheshimiwa Raisi, makamu, katibu, waziri wa mambo ya ndani, msemaji na wajumbe wote wa chama Chetu itifaki imezingatiwa...

Nipende kutoa shukran zangu kwa uteuzi huu... kama mwanasheria wa chama cha majobless Pro Max nipende kuhaidi nitatoa ushirikiano pale ambapo nitahitajika kama mwanasheria ili tusikae kinyonge

Muwe na Asubuhi njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…