Mheshimiwa Rais will Vouch for me ndugu waziri wa mambo ya ndaniπππSalama sana ndugu raisi, nikiwa kama waziri wa mambo ya ndani wa chama chetu cha majobless pro max.
Nipende kuwakaribisha kwenye chama ndugu Selikavu pamoja na Edo kissy niwaambie tu karibuni sana lakini team yangu itaendelea kuwafanyia uchunguzi ili tujiridhishe zaidi na utiifu wenu na unyenyekevu kwaajiri ya maendeleo ya chama chetu.πππ
πππAseeewaki zingua chapa vibokoππ€£
we Jamaa ume fanya nime cheka kinyama .Samahani Mh. Rais, kwa upande wangu kazi za kuhusisha mifupa na misuli usinishirikishe, at least za kuzunguka juu ya kiti. Natanguliza shukuran zangu kwako
we ndo maana nusu albino πYaani we jobo alafu hujui hilo?
Ko una taka kazi ya kukaa juu ya kiti, haya kabetiπ€£πSamahani Mh. Rais, kwa upande wangu kazi za kuhusisha mifupa na misuli usinishirikishe, at least za kuzunguka juu ya kiti. Natanguliza shukuran zangu kwako
Wewe uki zingua Nita tumia mnyororo π€£Hili limepita bila kupingwa ndugu raisi π€£π€£
kaka tatizo wewe sio jobless πKwa heshima na taadhima natangaza kuwa member wa hili group Ila naomba nafasi ya uongozi jamani na Mimi nijisikie raha
Raisi kanikataa wacha nimsubiri katibu nafikiri anaweza kuwa upande wangukaka tatizo wewe sio jobless π
ANZISHA MOJA KATI YA VYAMQ HIVYO UTAKUJA NISHUKURUSijui nianzishe chama gani yarabi! Maana wenye chama mna kitu mtafika mbali.
Kama mwenyekiti mstaafu Mbowe.
anzisha hata chama Cha wapishi π, hapo kwenye yarabi πSijui nianzishe chama gani yarabi! Maana wenye chama mna kitu mtafika mbali.
Kama mwenyekiti mstaafu Mbowe.
Ewe mwanachama kuwa na adabu, maana binti kiziwi ni shemeji yangu eboo.ANZISHA MOJA KATI YA VYAMQ HIVYO UTAKUJA NISHUKURU
1.Chama cha Wapiga kelele( wanao fokafoka)
2. Chama cha Walio Achwa
3. Chama cha Walio achika
4. Cha cha Walevi
5. Chama cha wasio lewa
6. Chama cha Wanaume na Wanawake Wakali.
7. Chama cha wasio zaa
Namba 6 walau inanihusu, hizo zingine hazinihusu sasa nitashindwa kutetea ambacho sikiishi!ANZISHA MOJA KATI YA VYAMQ HIVYO UTAKUJA NISHUKURU
1.Chama cha Wapiga kelele( wanao fokafoka)
2. Chama cha Walio Achwa
3. Chama cha Walio achika
4. Cha cha Walevi
5. Chama cha wasio lewa
6. Chama cha Wanaume na Wanawake Wakali.
7. Chama cha wasio zaa
KIDUMUUUUMh. Rais naona tumeanza kupata wafadhiliii
Kidumu chama
Mkuuu hahaha sijamtaja humoEwe mwanachama kuwa na adabu, maana binti kiziwi ni shemeji yangu eboo.
ewe Thecoder hawa vijana hamu wafundishi adabuπππ.
Shemeji upishi gani tena π€£ Unataka niwe nahubiri maji ila nakunywa bia?anzisha hata chama Cha wapishi π, hapo kwenye yarabi π
Acha uongo, kama huna kazi unakula nini na hela ya Kodi unapata wapi?Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu.
Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia.
amini usi amini, Kuna vyama vya kutetea na kusikiliza kero na matatizo ya familia, wafanya kazi, Wana michezo.
ila umoja wa ma jobless haupo, ni Kama hawa onekani.
wanacho pata ni kubezwa, kusemwa na hata kuandamwa kwa maneno.
Mimi Intelligent businessman baada ya kukaa na kutafakari, nika ona kwakuwa hatuna pesa, basi hata kusikiliza na kupeana mawazo ya faraja ni bora zaidi.
tuta jadili, semea na hata kuelimisha mambo chungu nzima yali yomo kwenye u jobless.
kauli mbiu ni umoja, upendo na amani.
hakuna michango.
hakuna pesa za bure
hakuna ubaguzi.
tetea haki ya jobless.
kidumu chama Cha ma jobless pro max .
View attachment 3223638