Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
Salama sana ndugu raisi, nikiwa kama waziri wa mambo ya ndani wa chama chetu cha majobless pro max.

Nipende kuwakaribisha kwenye chama ndugu Selikavu pamoja na Edo kissy niwaambie tu karibuni sana lakini team yangu itaendelea kuwafanyia uchunguzi ili tujiridhishe zaidi na utiifu wenu na unyenyekevu kwaajiri ya maendeleo ya chama chetu.😂😂😂
Mheshimiwa Rais will Vouch for me ndugu waziri wa mambo ya ndani😂😂😂
 
Sijui nianzishe chama gani yarabi! Maana wenye chama mna kitu mtafika mbali.

Kama mwenyekiti mstaafu Mbowe.
ANZISHA MOJA KATI YA VYAMQ HIVYO UTAKUJA NISHUKURU
1.Chama cha Wapiga kelele( wanao fokafoka)
2. Chama cha Walio Achwa
3. Chama cha Walio achika
4. Cha cha Walevi
5. Chama cha wasio lewa
6. Chama cha Wanaume na Wanawake Wakali.
7. Chama cha wasio zaa
 
ANZISHA MOJA KATI YA VYAMQ HIVYO UTAKUJA NISHUKURU
1.Chama cha Wapiga kelele( wanao fokafoka)
2. Chama cha Walio Achwa
3. Chama cha Walio achika
4. Cha cha Walevi
5. Chama cha wasio lewa
6. Chama cha Wanaume na Wanawake Wakali.
7. Chama cha wasio zaa
Ewe mwanachama kuwa na adabu, maana binti kiziwi ni shemeji yangu eboo.

ewe Thecoder hawa vijana hamu wafundishi adabu🙄😂😂.
 
ANZISHA MOJA KATI YA VYAMQ HIVYO UTAKUJA NISHUKURU
1.Chama cha Wapiga kelele( wanao fokafoka)
2. Chama cha Walio Achwa
3. Chama cha Walio achika
4. Cha cha Walevi
5. Chama cha wasio lewa
6. Chama cha Wanaume na Wanawake Wakali.
7. Chama cha wasio zaa
Namba 6 walau inanihusu, hizo zingine hazinihusu sasa nitashindwa kutetea ambacho sikiishi!

Au labda nianzishe umoja wa wanawake ambao kazi yetu ni kusema “thank you babe”

😂😎🤭🫣👊🏻
 
Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu.

Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia.

amini usi amini, Kuna vyama vya kutetea na kusikiliza kero na matatizo ya familia, wafanya kazi, Wana michezo.

ila umoja wa ma jobless haupo, ni Kama hawa onekani.
wanacho pata ni kubezwa, kusemwa na hata kuandamwa kwa maneno.

Mimi Intelligent businessman baada ya kukaa na kutafakari, nika ona kwakuwa hatuna pesa, basi hata kusikiliza na kupeana mawazo ya faraja ni bora zaidi.

tuta jadili, semea na hata kuelimisha mambo chungu nzima yali yomo kwenye u jobless.

kauli mbiu ni umoja, upendo na amani.

hakuna michango.
hakuna pesa za bure
hakuna ubaguzi.
tetea haki ya jobless.

kidumu chama Cha ma jobless pro max
.

View attachment 3223638
Acha uongo, kama huna kazi unakula nini na hela ya Kodi unapata wapi?
 
Back
Top Bottom