Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
Namba 6 walau inanihusu, hizo zingine hazinihusu sasa nitashindwa kutetea ambacho sikiishi!

Au labda nianzishe umoja wa wanawake ambao kazi yetu ni kusema β€œthank you babe”

πŸ˜‚πŸ˜ŽπŸ€­πŸ«£πŸ‘ŠπŸ»
Hata hiyo namba 6 sawa mimi nimeandika mifano ya vyama mkuu
 
Acha uongo, kama huna kazi unakula nini na hela ya Kodi unapata wapi?
Kaka haimaanishi kwamba majobless hawali hawavai hawana pa kulala na kuna majobless wengine wamefikia mbali zaidi wanaendesha hata magari mazuri , na mtu ambae hali chakula havai wala kuishi huyo sio jobless ni marehemu.
 
Intelligent businessman Ila shemeji sijui kwanini hiki chama chako kinanichekesha sana, kila nikikikumbuka naumwa mbavu!

Shemeji kwa maslahi ya familia, siku chama kikipata mafanikio naomba mdogo wangu umpe vitu maalumu!
binti kiziwi
kwanza nita mpa t-shirt Kali, Kisha Nita muweka kwenye bango Kama hapo. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka haimaanishi kwamba majobless hawali hawavai hawana pa kulala na kuna majobless wengine wamefikia mbali zaidi wanaendesha hata magari mazuri , na mtu ambae hali chakula havai wala kuishi huyo sio jobless ni marehemu.
Umepewa cheo gani mbona unakipambania chama sana? πŸ˜‚

Ila wewe ni mwanachama wa vyama vingi sana, 1.Kataa ndoa umo.

2.Joblesi umo.

3. Atheist umo!
 
Yule ndio tegemeo letu likizo ya mwezi wa 12 nilienda nyumbani, alikuwa anaupiga mwingi sana!
safi Ina pendeza kupumzika na familia, hata mimi nili kwenda kujumuika nao.

basi ata shirikiana na mama mkwe wake, kupika vyakula vizuri😊😊.
 
Kama hiyo picha kwenye flana ndiyo nembo ya chama mimi sijuungi.
Nahisi kuna mkono wa freesmason humo !
 
Umepewa cheo gani mbona unakipambania chama sana? πŸ˜‚

Ila wewe ni mwanachama wa vyama vingi sana, 1.Kataa ndoa umo.

2.Joblesi umo.

3. Atheist umo!
Atheist hakina chama , hawa ni watu huru tu walioamua kufikiri mambo katika uhalisia wake .

Kataa ndoa mimi sio wanachama kabisa ila ni mpambe tu.

Majobless mimi ni mwana chama mwenye kadi namba tano na kamati kuu ilipendekeza jina langu kama katibu wa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…