Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #521
naam, wanachama wame ongezeka ghaflanashauri Donald C. J Trump apewe uraisi wa heshima [kama ule wa Mo kwa simba] maana kachangia pakubwa kuongeza wanachama idadi wapya kwa muda mfupi.
Infringement of privacy is a criminal offense.Pesa za hayo magari mnatoa wapi na hamna kazi?
piga moyo konde, nyota yaja.Mi nishatoka Hadi mvi na sjawahi pata kazi.
naam, zingatia hilo.Mkuu hapo sawa naahidi kuratibu mipango ya chama kwa weledinwa Hali ya juu😎🤏
Kidumu chamaaaaaaaKidumu chama Cha ma jobless pro max
🤣🤣wewe ni jobless mkuu??, kwanini Ume kimbilia kwenye madaraka mapema!
NaamKidumu chamaaaaaaa
Ehh lazima nihoji🤣😂
Habari za Asubuhi ni nzuri kabisa MheshimiwaHabari za asubui ziwa fikie ma jobless pro max wote, popote walipo.
Mimi raisi wa ma jobless Intelligent businessman, makamu Bolotoba, katibu min -me
waziri wa mambo ya ndani Edo kissy, wakili wa chama Selikavu na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max makutupora
Anataka kazi zisizohusisha mifupa na misuli 😂😂, awe makini mjini apa.
Jobless huyo ana zingua🤣😂Anataka kazi zisizohusisha mifupa na misuli 😂😂, awe makini mjini apa.
Ndo una amka Sasa hivi, 😃 😂, ngoja waku fukuze huko.Habari za Asubuhi ni nzuri kabisa Mheshimiwa
Tunaendelea na majukumu ya chama chetu
Jobless unawai kuamka unaenda wap kaka😃Ndo una amka Sasa hivi, 😃 😂, ngoja waku fukuze huko.
naam, kuamka saa 6 mchana, kulala saa 9 usiku🤣🤣Jobless unawai kuamka unaenda wap kaka😃
Huna hela ya chai unfanyaje sasa😃😃😃naam, kuamka saa 6 mchana, kulala saa 9 usiku🤣🤣
una subiri mchana ufike, mchana uki fika pasi ndefuuuu hadi jioni🤣😂Huna hela ya chai unfanyaje sasa😃😃😃