Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #521
naam, wanachama wame ongezeka ghaflanashauri Donald C. J Trump apewe uraisi wa heshima [kama ule wa Mo kwa simba] maana kachangia pakubwa kuongeza wanachama idadi wapya kwa muda mfupi.