Ewe jobless wakikuchokoza usipigane, huo ni mtego

Kijana sio mbaya, ila kazana kuzunguka.
Ndi hvo mwanangu tunapambana mzee somet
Maisha magumu sana kwa vijana
Ndo hivo mkuu kikubwa tunapumua tunaishi Sema mkuu siku nikipata 50k Dah hiyo siku kwangu ni sherehe🤔niliamua hadi kufuta insta maana kuna Vijana wanapot mishe zao mpka unadhani labda kuna sehemu nilikosea
 
Hayo mashamba Wana yapata bure?, Kama mbolea yenyewe kuipata ni kipaji
Kuna maeneo mengi sana shamba ekari ni chini ya shilingi elfu 50. Sasa kama mtu ana elimu ngazi ya digrii na hawezi kukusanya shilingi milioni moja kwa mwaka huyo ni bure kabisa bora asingeenda shule.

Graduate wengi ni michosho sana. Wao wanataka kula shumbwele tu shuruba hawataki kabisa. Graduate wengi vimeo hili wala tusidanganyane Wakuu.
 
Namshukuru Mungu naweza kupambana kupata hiyo M maana kama mwezi naweza kuingiza laki moja na 40 kama take home kwangu sio mbaya, mwanzo mdogo hvo hivo ipo. Siku nitapiga hatua
Kila kitu kinaanza mdogo mdogo
 
Kuna maeneo mengi sana shamba ekari ni chini ya shilingi elfu 50. Sasa kama mtu ana elimu ngazi ya digrii na hawezi kukusanya shilingi milioni moja kwa mwaka huyo ni bure kabisa bora asingeenda shule.

Graduate wengi ni michosho sana. Wao wanataka kula shumbwele tu shuruba hawataki kabisa. Graduate wengi vimeo hili wala tusidanganyane Wakuu.
naelewa mkuu, ila baadhi wana pitia hali ngumu Sana.

namjua kijana 1 ana kaa na familia yao, maisha ni ya kuunga mnoo.
Kuna siku nilimpa deal ali nishukuru siku nzima, aka sema ni miujiza tu maana siku hiyo kwao hamna kitu.

namjua dogo pia mzee wao ali kuwa kwenye system enzi za jk, yule kijana kweli ni mpuuzi wa wapuuzi.

anacho jua ni kuoga, kuvaa nguo za gharama na kuvuta bhangi.
nime wekeza kwake ili asogee, still nime ambulia hasara.

Kilicho baki ni kuoa dada zake, ili aelewe yeye ndo hana option ya kudeka deka.
 
Ndi hvo mwanangu tunapambana mzee somet
Ndo hivo mkuu kikubwa tunapumua tunaishi Sema mkuu siku nikipata 50k Dah hiyo siku kwangu ni sherehe🤔niliamua hadi kufuta insta maana kuna Vijana wanapot mishe zao mpka unadhani labda kuna sehemu nilikosea
Guest vipi?
 
Back
Top Bottom