Ewe jobless wakikuchokoza usipigane, huo ni mtego

naelewa mkuu, ila baadhi wana pitia hali ngumu Sana.

namjua kijana 1 ana kaa na familia yao, maisha ni ya kuunga mnoo.
Kuna siku nilimpa deal ali nishukuru siku nzima, aka sema ni miujiza tu maana siku hiyo kwao hamna kitu.

namjua dogo pia mzee wao ali kuwa kwenye system enzi za jk, yule kijana kweli ni mpuuzi wa wapuuzi.

anacho jua ni kuoga, kuvaa nguo za gharama na kuvuta bhangi.
nime wekeza kwake ili asogee, still nime ambulia hasara.

Kilicho baki ni kuoa dada zake, ili aelewe yeye ndo hana option ya kudeka deka.
Sasa huyo graduate ambaye nyumbani hakupo poa anatakiwa kuondoka hapo aende mkoa tofauti akajitafute.

Amini nakwambia bado ukichunguza vizuri utagundua anazingua mahali.

Ipo hivi, kwenye umasikini mtu haupaswi kabisa kukaa hata kama ni kwenu, ondoka nenda kajitafute kisha uanze kuwasaidia tena kwa step sio unapata buku 5 unaipeleka kwenu yote unabaki kapuku, hivyo hautakaa uwasaidie na wala hautakaa ukate hiyo mizizi ya umasikini.

Ila pia lazima tukubali kuna kazi za msimu wakati mtu anaendelea kujitafuta na hizo hazipaswi kuwa ndio kazi rasmi zakufanya mfano, boda boda, uwinga, upagazi mlimani, kilimo kidogo, ufugaji mdogo, saida makenika, saidia fundi ujenzi N.k

Sasa vijan wengi graduate wanang'ang'ania sehemu walizozaliwa au zilipo familia zao au majiji waliposomea wakati bado nchi ni kubwa sana hii.

Jambo lingine, graduates wengi hawafuatilii taarifa za habari kwenye vyombo vya habari kama redio na Tv. Unakuta graduate anajitafuta alafu anaiponda TBC hataki kabisa kuifuatilia yeye anajua tu kufuatilia UEFA na Ligi ya nyumbani. Graduate wa hivi kuja kutoboa ni kwa nadra sana.

Unajua uzuri wakufuatilia vyombo kama TBC unakuwa unaona fursa zilipo na hata kama unaona serikali inazingua ila tayari unakuwa na taarifa sahihi juu ya miradi na malengo ya taifa alafu unaona fursa chapu kupitia elimu yako inayokuwezesha kuchambua mambo.

Nitakupa mfano, ukiangalia watu walioshikilia biashara ya utalii unaweza ukajiona mjinga sana wengi ni elimu za kawaida sana. Wengi ni wale tuliwacheka walivyo feli kidato cha nne ila hao ndio wanamiliki utalii wa porini na mlimani.

Mwambie huyo jamaa atoke huko kwao, umasikini sio wakuishi nao aisee.

Tusijipe moyo lazima tukubali graduate tunazingua tena pakubwa sana.
 
Namshukuru Mungu naweza kupambana kupata hiyo M maana kama mwezi naweza kuingiza laki moja na 40 kama take home kwangu sio mbaya, mwanzo mdogo hvo hivo ipo. Siku nitapiga hatua
Kila kitu kinaanza mdogo mdogo
Kabisa Mkuu.
Mdogo mdogo hadi tutafika tunapotaka kufika. Ila kulalamika ili kutia huruma ni marufuku.
 
Sasa huyo graduate ambaye nyumbani hakupo poa anatakiwa kuondoka hapo aende mkoa tofauti akajitafute.

Amini nakwambia bado ukichunguza vizuri utagundua anazingua mahali.

Ipo hivi, kwenye umasikini mtu haupaswi kabisa kukaa hata kama ni kwenu, ondoka nenda kajitafute kisha uanze kuwasaidia tena kwa step sio unapata buku 5 unaipeleka kwenu yote unabaki kapuku, hivyo hautakaa uwasaidie na wala hautakaa ukate hiyo mizizi ya umasikini.

Ila pia lazima tukubali kuna kazi za msimu wakati mtu anaendelea kujitafuta na hizo hazipaswi kuwa ndio kazi rasmi zakufanya mfano, boda boda, uwinga, upagazi mlimani, kilimo kidogo, ufugaji mdogo, saida makenika, saidia fundi ujenzi N.k

Sasa vijan wengi graduate wanang'ang'ania sehemu walizozaliwa au zilipo familia zao au majiji waliposomea wakati bado nchi ni kubwa sana hii.

Jambo lingine, graduates wengi hawafuatilii taarifa za habari kwenye vyombo vya habari kama redio na Tv. Unakuta graduate anajitafuta alafu anaiponda TBC hataki kabisa kuifuatilia yeye anajua tu kufuatilia UEFA na Ligi ya nyumbani. Graduate wa hivi kuja kutoboa ni kwa nadra sana.

Unajua uzuri wakufuatilia vyombo kama TBC unakuwa unaona fursa zilipo na hata kama unaona serikali inazingua ila tayari unakuwa na taarifa sahihi juu ya miradi na malengo ya taifa alafu unaona fursa chapu kupitia elimu yako inayokuwezesha kuchambua mambo.

Nitakupa mfano, ukiangalia watu walioshikilia biashara ya utalii unaweza ukajiona mjinga sana wengi ni elimu za kawaida sana. Wengi ni wale tuliwacheka walivyo feli kidato cha nne ila hao ndio wanamiliki utalii wa porini na mlimani.

Mwambie huyo jamaa atoke huko kwao, umasikini sio wakuishi nao aisee.

Tusijipe moyo lazima tukubali graduate tunazingua tena pakubwa sana.
Naam nimesha mshauri hilo pia, sija jua yeye ana waza kipi.

naam kwenye utalii ni kweli, wengi ni elimu ya kawaida.

Mkuu ume sema hoja nzuri na makini, mwenye kuelewa na aelewe.
 
Mwanangu natamani kutoka maghetoni Ila Kila Nikikumbuka msoto wa kufukuzwa kodi mara 6🤣kwenhe nyumba Sita tofauti acha kwanza nibaki home
Japokua mimi ndo naendesha familia kwa hiko Nitakachopata family wa watu wanne

Ukute anaogopa kuondoka kwao kisa wazazi. Anasubiri kupewa ruhusa kitu ambacho ni ngumu sana kutokea. Mshauri tu awe nunda asepe kwao mambo mengine yataji set mbele ua safari tu.
 
Hahah, Mkuu wewe toka tu Mkuu alafu unaenda mkoani unapanga kodi za kawaida kabisa elfu 20 kwa mwezi nyumba nzuri tu zipo na mzunguko wa hela bado unauona pia.
 
Ukute anaogopa kuondoka kwao kisa wazazi. Anasubiri kupewa ruhusa kitu ambacho ni ngumu sana kutokea. Mshauri tu awe nunda asepe kwao mambo mengine yataji set mbele ua safari tu.
nili wahi sepa home Mwaka mzima, hawa jui nilipo.
japo uli kuwa msoto, ila ndio ulio fanya nifahamike na kujulikana kwa kiasi Kikubwa.

nili lala nje, kula ukoko kwa mama ntilie, kufanya kazi sehemu bure 24/7 ili tu uonekana una faa.

hapo nyumbani nime acha life fulani ambayo wengine wasinge diriki kufanya maamuzi yangu.

ndio maana nazi elewa hustle za jobless pro max.
 
Mwanangu natamani kutoka maghetoni Ila Kila Nikikumbuka msoto wa kufukuzwa kodi mara 6🤣kwenhe nyumba Sita tofauti acha kwanza nibaki home
Japokua mimi ndo naendesha familia kwa hiko Nitakachopata family wa watu wanne
we si bora uli panga, watu tuli lala vibarazani mzee.

kuja kulala kitandani nika ona Kama luxury fulani 😁😂
 
nili wahi sepa home Mwaka mzima, hawa jui nilipo.
japo uli kuwa msoto, ila ndio ulio nifahamike na kujulikana kwa kiasi Kikubwa.

nili lala nje, kula ukoko kwa mama ntilie, kufanya kazi sehemu bure 24/7 ili tu uonekana una faa.

hapo nyumbani nime acha life fulani ambayo wengine wasinge diriki kufanya maamuzi ya gu.

ndio maana nazi elewa hustle za jobless pro max.
Ndio inavyotakiwa muda mwingi, ukiweza kujipa challenge ukatoka kwenye comfort zone unagundua uwezo ulionao.

Dawa yakuwasaidia jobless wengi ni kuwaambia ukweli mchungu kama anavyofanya Chimakeke. Lazima watu wajue hakuna anayewaonea huruma na dawa ni moja, kutoka maghetoni na kukubali kupambana
 
Naam hoja nzuri sana, nina Imani wata elewa somo hili.
 
Back
Top Bottom