Ewe kijana mwenye dharau na majivuno na kudhalilisha wengine kwa vile una kadi ya CCM na uongozi wa kupewa jiangalie! CCM haina msaada wowote

Unajitoa kama vile huhusiki na maumivu ya uovu kwa wengine kwa sababu umejichanganua kuwa "sisi" ni ccm na 'wao" ni wapinzani?
Kuna siku kwa akili hizo dada yako mtapishana misimamo nyumbani kisha utamkuta anabakwa na kushangilia maana yeye si ni "mpinzani"?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Sijaongelea lolote kuhusu maumivu ya upinzani,hiyo ni tafsiri uliyotoa ni yako, halafu sijasema sisi ccm bali nimejaribu kupinga hoja iliyoletwa kuwa ccm haijali watu wake.

pili akili za kubakana sijui umezitoa wapi maana ulikuwa na mifano mingi tu kuhalalisha point yako ila ukachagua kubakana, kutokana na uchaguzi wa akili yako naomba nipuuze swali lako.

Tatu na mwisho ccm ni wazuri kwenye kukufanya ushindanishe ccm vs ccm badala ya ccm vs upinzani. Maamuzi ni yako.
 
Uko nyuma sana mkuu , ungeujua mkakati waakina Bashiru Ally wa kumdhalilisha Kikwete ungeniomba radhi
Watafeli kama ni kweli. Na wakifanikiwa chama kitapoteza sana. Naamini hawana akili ndogo hivyo. Kutofautiana kupo ila ccm ni wazuri wa kugeuza mazingira ya ugomvi wao kuwa mtaji wa kisiasa. Mwishowe utawakuta upinzani unashindanisha ccm vs ccm.
 
Hakuna chama kinacholinda watu wake kama ccm, usidanganywe na yale unayoyaona nje. Hao uliowataja unaamini chama kweli kimewatenga? Kwa sababu hizi, Ccm itatawala mda mrefu sana aisee.
Familia ya Salim Ahmed Salim ilijikuta ikiomba misaada ya tiba ya mzee wao kupitia vyombo vya habari baada ya mzee kutelekezwa.
 
Sikutaka kulisemea hilo ili kulinda heshima ya Mzee Salim
 
Hebu waangalie Lugola, kabeba hadi Ilani yake mkononi waione Takukuru lakini kaambiwa choma ndani ukajibu maswali.
Wajiulize kulikuwa na sababu gani hiyo ilani kukaa mkononi badala ya mkobani? Haikumsaidia.
View attachment 1341788View attachment 1341790

Sent using Jamii Forums mobile app
Ova

IMG-20200131-WA0012.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tahadhari tu kabla ya hatari .
Kwanini usiwatahadhalishe vijana waliokusanywa na Zitt Kabw kwenda kufundishwa Mafunzo ya Kiharamia, kwa ajili ya kuwashambuliwa Wanachama wa vyama vingine vya Siasa haswa Wapinzani wenzake wakivalia mavazi ya CCM. Huoni hao vijana aliowadanganya wote Wanajulikana na Watapata taabu saana. Taabu hiyo kwa Vijana imetengenezwa na Zitto. Mbinu hiyo aliitumia akiwa Chadema saizi anataka kuitumia kujiimarisha ACT Wazalendo.
Tahadhali: Kundi la Vijana jihadhali na mission za Zigo mtaumia peke yenu na Familia zenu, Mkitaka kujua Muulizeni Baba Levo aliyofanyiwa na Zitt Kabw akiwa Gerezani.
Kigoma huku anaitwa snitch wa kimataifa.
Naomba Watahadhalishe Vijana wa ACT Wazalendo kwanza maana wamejulikana wote ni Muda tu unasubiliwa.
Badala ya kuwafundisha Vijana Uzalendo mnawafundisha uhuni.
===2020 Tutakulinda Tanzania kwa gharama yoyote ile, Cc kama Watanzania tutawaumbua na kuwachakaza. Bado Mengine nimeyaficha ya Video chafu za Kiongoz Mkuu
 
Tema mate au Tapika tu boss, halafu Sijasema milele. Ccm imekuwa ikiwahadaa kila wakati. Yaani mtu anadhani chama hakimjali mpaka kikwete? Aisee. Itafika kipindi hapa watu watasahau upinzani kabisa wataanza shadadia ugomvi wa ccm.
Eti Mpinzani Zitto Kabwe wakati kazi yake ni kulilia 10% Kwa akina Li huku Kigoma Manispaa akiwa anadai ni ya kuwapooza Madiwani wa Manispaa kumbe ya kwake ya kula bata.
 
Kijana kategemea CCM imvushe sasa anashangaa umri unaenda speed yaani miaka inayoyoma ujana ndiyo huo unatokomea na dalili za kutoka ni kiza kinene.
 
Rubbish
View attachment 1341777

Hili ni angalizo ambalo nalipeleka moja kwa moja kwa vijana wachache ambao bado ni wanaCCM, maana vijana wengi wameachana na hicho chama, vijana wa CCM wa hapa JF na kwingineko nawaomba sana mtambue kwamba CCM haina nia wala uwezo wa kuwasaidia mnapopata matatizo , tena matatizo yenyewe ni yale yanayosababishwa na siasa hizo hizo mnazokesha kuzifanya hadharani na mitandaoni.

Ukipata tatizo na hata kama ulipata tatizo baada ya kutumwa na chama chako utatelekezwa , naandika haya baada ya ID nyingi mpya za wafia chama kumwagwa humu JF utadhani nzige wa Kenya, bahati mbaya ni kwamba waliomwagwa wana uwezo mdogo mno wa kujenga hoja hivyo hawasumbui chochote, tambueni kwamba kazi mnayoifanya ya kutetea CCM humu ni sawa na kazi ya bure.

Jiulize kati ya wewe kapuku na Nape, January, Lugola, Manji, MO, Kinana, Makamba, Kikwete nani ni zaidi? ukishapata majibu endelea kutoa povu humu na kwingineko ukidhani ccm itakusaidia .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadomo ndio inamsaada ?

They do not think out side the box
 
Kwahiyo hapa solution ni kukaa kimya. Maana ukijidaia Sana uccm ukitumbuliwa hauna msaada nabukijafanya kuikosoa Sana ccm unapotezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom